Hawa jamaa nimekutana nao wawili, yaani anaovetake anaingia upande wangu tupo uso kwa uso lakini anakomaa mm ndio inabidi nipite vichakani kumpisha.... ujinga wao utacost maisha ya watu siku moja.Mpaka watu wa humu jf huwa wanaweka ubishi kuhusu speed za sauli vs newforce.
Wiki mbili zilizopita wameingia Morogoro saa 2:47 asubuhi wakitokea Dar, wakabana maeneo ya oilcomHawa jamaa nimekutana nao wawili, yaani anaovetake anaingia upande wangu tupo uso kwa uso lakini anakomaa mm ndio inabidi nipite vichakani kumpisha.... ujinga wao utacost maisha ya watu siku moja.
Hawa jamaa nimekutana nao wawili, yaani anaovetake anaingia upande wangu tupo uso kwa uso lakini anakomaa mm ndio inabidi nipite vichakani kumpisha.... ujinga wao utacost maisha ya watu siku moja.
mkuu kwani anae regulate usafiri wa nchi kavu ni nani? na nimespecify kabisa kua tatizo ni kwa madereva wa mabasi ya SAULI sababu tangia nimeanza kutumia barabara hawa jamaa wapo tofauti sana hata ukiuliza ni nani mabingwa wa speed road sasa hivi utaambiwa ni sauliHili linawahusu Sumatra, wamiliki au madereva wote?
Kwanini upumbavu wa mtu mmoja au wawili unauchukulia kuwa msimamo wa Mamia ya watu katika sekta hiyo?
Usafirishaji ni sekta kubwa na ina watu wanaojitambua kuliko unavyotaka kutuaminisha wewe.
mkuu kwani anae regulate usafiri wa nchi kavu ni nani? na nimespecify kabisa kua tatizo ni kwa madereva wa mabasi ya SAULI sababu tangia nimeanza kutumia barabara hawa jamaa wapo tofauti sana hata ukiuliza ni nani mabingwa wa speed road sasa hivi utaambiwa ni sauli
Ina maana nchi hii kampuni ya sauli ina simamiwa na sheria tofauti na makampuni mengine?!!sasa dawa yao ina kuja ni spidi gavana kwa mabasi yote nchiOk, LATRA bila shaka wataona nn cha kufanya juu ya hawa jamaa...
inaweza kua sahihi lakini hawa jamaa huko road wana sifa mbaya sana japo kwao wanaona ni sifaNiliwahi kupanda hili basi ila hiyo speed inayosemwa na wengi sikuiona kwakweli.
Kinachofanya hili basi lifike haraka ni kua halina vituo vingi na halikai stendi. Ile siku nakumbuka pale msavu hatukutumia dakika nyingi, izo stendi nyingine ni kuingia na kutoka tu hakuna kusimama hovyo kupoteza muda.
Mabasi mengine kama rungwe na newforce vituo ni vingi, wanabeba abiria hata wa rout fupifupi.
SUMATRA ndio niniWakuu habari,
Ningependa kuishauri SUMATRA wawaite na kuwashauri wamiliki/madereva wa mabasi ya SAULI kuwa kusifiwa barabarani kwa ubingwa wao wa kukimbia speed kubwa na kuovertake bila mpangilio siku moja kutagharimu maisha ya abiria wasio na hatia.
Ushauri wangu ni huo kwenu SUMATRA msije sema hamkuambiwa.
Wakuu habari,
Ningependa kuishauri SUMATRA wawaite na kuwashauri wamiliki/madereva wa mabasi ya SAULI kuwa kusifiwa barabarani kwa ubingwa wao wa kukimbia speed kubwa na kuovertake bila mpangilio siku moja kutagharimu maisha ya abiria wasio na hatia.
Ushauri wangu ni huo kwenu SUMATRA msije sema hamkuambiwa.
Labda mkuu, nilipanda mda kidgo mzee. Ila hicho ndo nlichogundua, hawasimami hovyo kama wengine ndio maana wanawahi kufika lakini pia hawasumbuliwi sana askari.inaweza kua sahihi lakini hawa jamaa huko road wana sifa mbaya sana japo kwao wanaona ni sifa
Mwamba kateleza mnoWiki mbili zilizopita wameingia Morogoro saa 2:47 asubuhi wakitokea Dar, wakabana maeneo ya oilcom