Ushauri wangu kuhusu ujio wa obama.

Ushauri wangu kuhusu ujio wa obama.

ndendi

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
625
Reaction score
186
Mimi naona kuhusu huu ugeni tulionao,hapa mjini patakua busy sana,ushauri wangu ni huu,tufanye kazi mpaka juma pili,ten j,3 na j,4 tupumzike ili kupisha huu ugeni.Nawasilisha.
 
Unataka kazi au hutaki?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mimi naona kuhusu huu ugeni tulionao,hapa mjini patakua busy sana,ushauri wangu ni huu,tufanye kazi mpaka juma pili,ten j,3 na j,4 tupumzike ili kupisha huu ugeni.Nawasilisha.

YES!! nakubali, jumatatu na jumanne tusije, hizo siku watu watakatwa kwenye siku zao za likizo wajemeni!!
Hii foleni ni mateso balaa!!
:couch2:
 
Huku kwetu Rombo hautulijui hilo. Kwanza tunsikilizaga radio za Kenya. Rais wetu anajiandaa kujenga Bomba la wese toka Mombasa Mpaka kwa Kagame. Nyie endeleeni na huyo mjaluo wenu huko Tanzania
 
mmeambiwa msiende mjini...kama huna la msingi, so nani kakwambia kazi ni kitu cha msingi
 
Hv rombo ni wilaya ya kenya eeeee??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom