Ushauri wangu: Kila mbunge ajitathmini ndani ya siku 100 amefanya nini jimboni kwake

kanone

JF-Expert Member
Oct 10, 2013
6,188
1,576
Wanasiasa wengi na watu wa kawaida wengi wao wamejikita kuangalia ndani ya SIKU mia moja rais magufuli amefanya nini lakini wanasaau kuwa na wao wanawajibu wa kuonyesha au kujitadhimini ndani ya siku mia moja wamefanya nini MAJIMBONI kwao ktk HARAKATI za kuwasaidia wapiga kura wao,
Wapo WABUNGE tangu wachaguliwe hata kushiriki shuguli yoyote ya kijamii adi Leo bado lakini wengine walianza kushiriki hata kabla hawajaapishwa bungeni
Nawashauri,
Dhama zimebadirika jitadhimini adi sasa.mumefanya nini MAJIMBONI kweni kabla ya kuelekezea ufaamu wenu wote kwa rais kuwa amefanya nini ndani ya siku mia moja,
Naleta hoja,
 
Wewe unataka kutukanwa na Wabunge wa CCM ukimtoa Waziri wa Ardhi na Mwigulu,kwasababu hakunaga swali wanaloliogopaga kama hili.
 
Jitathimini kwanza wewe umewafanyia nini familia yako zaidi ya kupiga ulanzi
 
Wewe unataka kutukanwa na Wabunge wa CCM ukimtoa Waziri wa Ardhi na Mwigulu,kwasababu hakunaga swali wanaloliogopaga kama hili.

Sina.shida na upande.wa mbunge bali yeye kama yeye amefanya nini jimboni wapo AMBAO hawajapiga kelele bungeni lakini majimboni wamewakatia bima za afya wapiga kura zao hii.angalau inatia moyo,
 
Wanasiasa wengi na watu wa kawaida wengi wao wamejikita kuangalia ndani ya SIKU mia moja rais magufuli amefanya nini lakini wanasaau kuwa na wao wanawajibu wa kuonyesha au kujitadhimini ndani ya siku mia moja wamefanya nini MAJIMBONI kwao ktk HARAKATI za kuwasaidia wapiga kura wao,
Wapo WABUNGE tangu wachaguliwe hata kushiriki shuguli yoyote ya kijamii adi Leo bado lakini wengine walianza kushiriki hata kabla hawajaapishwa bungeni
Nawashauri,
Dhama zimebadirika jitadhimini adi sasa.mumefanya nini MAJIMBONI kweni kabla ya kuelekezea ufaamu wenu wote kwa rais kuwa amefanya nini ndani ya siku mia moja,
Naleta hoja,

ndugu yangu kanone, hebu angalia hapa,
WAJITADHIMINI=WAJITATHMINI,
WANASAAU=WANASAHAU,
WANAWAJIBU=WANA WAJBU,
ADI=HADI,
MUMEFANYA=MMEFANYA,
KWENI=KWENU
UFAAMU=UFAHAMU,
ZIMEBADIRIKA=ZIMEBADILIKA,
SHUGULI=SHUGHULI§§§ CIAOO! HI HIHII!
 
  • Thanks
Reactions: nao
Tathimini

Profesa jay: kafanikiwa kufuta kesi iliyokuwa inamkabili ya uchaguzi

Kubenea: katengenza umaarufu kwa kugombana na DC wa KINONDONI

msukuma: kaweza kuwaombea vijana waliomchagua ili serikali iweze kupitisha BANGI labda aliwahaidi wapiga kura wake hivyo

Zitto: kaweza kupiga kelele saana kuhusu TBC na bado hakijafanyika kitu

Mbowe: kafanikiwa kumuomba ZITTO msamaha..

WELDONE WABUNGE WETU:):):):)
 
Mbunge siyo serikali!
Anayo majukumu ya kutimiza nae, ndani ya hizo siki 100 wamefanya nini ktk majimbo yao? Hasa Msigwa maana nimemuona jana au juzi chennel 10 akitoka povu kuwa rais hajafanya kitu zaidi ya siasa! Yeye na wengine wamefanya nini au ndo hoja ya vyupi na shanga?
 
Tathimini

Profesa jay: kafanikiwa kufuta kesi iliyokuwa inamkabili ya uchaguzi

Kubenea: katengenza umaarufu kwa kugombana na DC wa KINONDONI

msukuma: kaweza kuwaombea vijana waliomchagua ili serikali iweze kupitisha BANGI labda aliwahaidi wapiga kura wake hivyo

Zitto: kaweza kupiga kelele saana kuhusu TBC na bado hakijafanyika kitu

Mbowe: kafanikiwa kumuomba ZITTO msamaha..

WELDONE WABUNGE WETU:):):):)
Hayo waliuofanikiwa ndo yalikuwa majukumu yao?
 
Pole sana,naamini ulienda kwenye kampain zao kuna.MBUNGE alikwambia atasubili.serikali au unajitoa ufaamu
Bila shaka huyo mbunge wako alikuwa hajui wajibu wake!
Sasa na wewe usijifanye punguani kwa kutokujua kazi za bunge!
 
Back
Top Bottom