Ushauri wangu juu ya wakiristo na usalama wao

Ushauri wangu juu ya wakiristo na usalama wao

Status
Not open for further replies.
Al Shabaab wakija tz waislam tunakula bata tu, tena tutawakaribisha vizuri tu, makafir cha moto mtakiona

Huwezi kuwa muislam wa ukweli halafu ukawa na mawazo kama haya.Ni aidha unafanya mzaha ama una matatizo ya akili...jichunguze ndugu.
 
Alshabab hawajaona hawa Makafiri wa huku Tanzania wanaopinga hata Mahakama zisizowahusu.
 
Mtoa post nn maana ya post yako!!! Weka mada muhimu tujadili co mada ambazo mwisho wa siku zitaleta chuki baina ya mtu na mtu


NAKUOMBENI MADA ZIWE MZURI JAMANI CO ZA UCHOCHEZI!!!!

MUNGU NDO MLINZI WA VIUMBE VYAKE,NA KILA KIUMBE CHAKE ATAMCHUKUA KATIKA KIFO ALICHOMPANGIA
 

Attachments

  • unnamed-14.jpg
    unnamed-14.jpg
    35.2 KB · Views: 73
Mleta maada unajaribu kuchonganisha watu na suvinginevyo,, ya alshabab na kenya waachie wenyewe... Watanzania amani mnaiharibu wenyewe kwa upumbavu kama huu,,, ni wapi tanzania mkristo amekosa amani?? Jeshi la liga kenya lilikuwa linaua masheikh kule Mombasa, linaua waislamu kule somalia, je ulishawahi kulikemea kwa nguvu hii kabla alshabab hawajalipa kisasi... Paza sauti unapoona uovu pande zote nasio kuwa mbinafsi,mawazo huru ni muhimu kwenye haya mambo
 
Jamani hivi watz mbona mnakuwa hivyo¶¶¶ hiyo tabia acheni ,,,,,,,kaeni mujadili vitu ambavyo ni vizuri na co vitu ambavyo vitaleta ugomvi ktk jf group
 
Na nyinyi mnaotoa post muangalie vitu vya kupost, kama huna cha kupost bora uhingie humu utafute mada uhisome nadhani uta-gain kitu kuliko kuleta mada za aina hyo

WAKRISTO NA WAISLAM HAKIKA WOTE NI NDUGU NA LAZIMA TUONYESHANE UPENDO NA AMANI KTK JAMII ZETU CO KUIGA
 
Yani muislamu hata asome vipi still anakua na ujinga flani hivi kwa maana kwamba hawezi kuelimika kama unabisha cheki michango ya waliochangia hapo juu na kujipambania kama waislamu

Ila mgalatia akisoma ndio anaelimika maana hata awe profesa bado ataabidia sanamu la yesu na bikira Maria
 
Atakaye nikana mbela ya watu na mimi ni tamkana mbele ya baba yangu
 
Lione hili....hivi kule Iraq, Nigeria, Yemen, Pakistani, Afganistan, syria na kwingineko wale wanao uawa ni wakristo ee?? Sikujua hili!
 
Hali ya usalama kwa wakristo ni tete nawashauri sasa waanzishe military trainings kwa ajili ya kuweza kujilinda wenyewe dhidi ya mashambulizi ya kigaidi. nashauri umoja wa maaskofu kupitia makanisa yao sasa yaanzishe military trainings kwa waumini wao na si kusubiri serikali, wapeleke vijana wengi JKT kwa mafunzo.

Yesu huwapıgania Wakrıstu.
 
Haaa....haaaa....makafiri mnaogopa sana kifo

Nyie ni wanafiki sana, nina uhakika lazima mtakua na marafiki wa kikristo ila hamuwezi hata siku moja kuwaambia haya maneno ya kashfa hapa unabwabwaja tuu bz mmejificha nyuma ya keyboard.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom