Ushauri: Wanaume husimama, Wanawake hukaa...

Ushauri: Wanaume husimama, Wanawake hukaa...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Wanawake wengi waliokua kwenye ndoa au mahusiano mazuri ni wapotoshaji wakubwa sana kwa wanawake wenzao ambao bado wanatafuta...

Cc: mahondaw
 
Utani wa ngumi huo smart

Huo ndiyo ukweli mahondaw wangu...

Utamkuta mwanamke aliyopo kwenye ndoa au mahusiano mazuri vile anavyomshauri mwanamke mwenzako ambae bado anatafuta ni huruma tupu...

Utawasikia wanawambia wanawake wenzao 'All man are dogs' usimchekee mwanaume... ila yeye ananyenyekea na kupalilia kwake...

Mwenye kuambiwa na akashindwa kuchanganya na za kwake ndiyo hao kila siku wanalia lia na mahusiano...
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Wanawake wengi waliokua kwenye ndoa au mahusiano mazuri ni wapotoshaji wakubwa sana kwa wanawake wenzao ambao bado wanatafuta...

Cc: mahondaw
Wanapotoshwa vipi?!
Mimi nimewapotoshaje
 
Back
Top Bottom