Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,560
- Thread starter
- #41
DohMpini lazima uchomekwe kwenye. Jembe ndo ulime vzr
DohMpini lazima uchomekwe kwenye. Jembe ndo ulime vzr
Tayari washakuharibu shemejiSio wanaume wote wakati wa haja ndogo usimama, wengi wao huchuchumaa nami ni miongoni mwao, narekebisha tu hapo. Asante
Hahaha pole rafikiRelationship za sku hz n kupeana
Stress tu mtu unaanZisha relationship
Haikai hata 3 months,
umeshaivunja.kutokana na baadh ya
Wanawake wa skuhiz kutokutumia
Akili anatumia nguvu kwa ktu
Amabacho haiwezekan
Asante mjerumaniSomo zuri
Amen broFact
Hahaha a
Raha ya mwanaume ni kumsusia mwili tu
Hahaha a
Oh jomoon asante sanaBahati mbaya niko mbali na wewe. Lakini nakuzawadia heshima ya mwanamke bora ukiwafuatia bibi zangu na mama yangu.
Njoo huku Tangazo: Style ya Mbwa inaleta Kansa na Presha!..shemeji kwa zari????
WoiDawa ni kumdanganya. Unaishi naye kwa akili. Anafurahiiii. Kumbe unamuangalia na kusema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Meona eeNa mwanamke ukitaka kujisaidia huku umesimama, utajikojolea tu miguuni maana hamna namna!
Hao wazee ni wanawake?
Haujawahi kuwatokea tu. Wapo wanaosimama na kuurusha kwa nyuma tena mbali. Usimwambie mtu nimekumegea siri hii.
Somo zuri
Fact
Relationship za sku hz n kupeana
Stress tu mtu unaanZisha relationship
Haikai hata 3 months,
umeshaivunja.kutokana na baadh ya
Wanawake wa skuhiz kutokutumia
Akili anatumia nguvu kwa ktu
Amabacho haiwezekan
Hahaha wameenda kusali wakitoka watakujaWakija watakubishia sana. Na sijaona comment zao hapa
Buzz
Ni bombaaa!!..
Asante babyUko juu baby.
Umenena vyema
HahahaKuna mwanamke wa kichaga nilikuwa naye, ana shingo ngumu huyo
Waambie
Ila mishushuo yako bado naipima nacheki upepo
Mbona disco lishaingiliwa na mmasai muda sana!..
Wanaume tunasimama ndiyo, nimekuelewa
haya mambo ya haki sawa na elimu za degree 1-2 zimewaharibi sana wadada kila kitu anataka awe sawa na mwanaume!.wanawake inabidi wajifunze hamna mwanaume duniani anataka mwanamke awe juu yake au adharauriwe na mwanamke ni fedheha sana,mwanaume mwenzako akudharau na mwanamke naye akudharau! sizani kama kuna mwanaume wa hivyo duniani
Mwanamke wa shoka
Wafunde wafundike mamah
Well said Money Penny
Vita wanayotaka kuanzisha wanawake ni ya vioo hawaiwezi
Siku zote mpini utabaki kuwa mpini uwezi kuwa shoka kwa kuwa umetambua hlo pongezi Ila nao kiss wamesifiwa wasizifi sifa.
Mpini lazima uchomekwe kwenye. Jembe ndo ulime vzr