Ushauri: Wanaume husimama, Wanawake hukaa...

Ushauri: Wanaume husimama, Wanawake hukaa...

Huo ndiyo ukweli mahondaw wangu...

Utamkuta mwanamke aliyopo kwenye ndoa au mahusiano mazuri vile anavyomshauri mwanamke mwenzako ambae bado anatafuta ni huruma tupu...

Utawasikia wanawambia wanawake wenzao 'All man are dogs' usimchekee mwanaume... ila yeye ananyenyekea na kupalilia kwake...

Mwenye kuambiwa na akashindwa kuchanganya na za kwake ndiyo hao kila siku wanalia lia na mahusiano...
Amen Brother
 
Niaje? !

Naomba twende sawa tu wanawake wenzangu:

Ni lazima tukumbushane kuwa

1. Wanaume wakienda kujisaidia haja ndogo husimama

2. Wanawake wakienda kujisaidia haja kubwa hukaa kama sio kuchuchumaa

Sasa mwanamke unapotaka kumzidi mwanaume kwenye maisha ndio huleta haya matatizo yooote ya vilio kwenye Jamii kama

A. Wanaume wanachepuka
B. Wanaume wa sikuhizi wabaya
C. Wanaume wana vibamia
D. Wanaume hawajui kitu ndio mana tunapenda wazee

Unajua wewe kama mwanamke ukishajua haki zako kwenye mahusiano / mapenzi / ndoa na ukajitambua wewe ni nani (mwanamke ni shingo na sio kichwa) haya malumbano yooote yataisha

Mbona mama zetu waliishi na baba zetu vizuri?!

Vumilieni vijana ndoa nyingi na mahusiano mengi ya vijana zinakuwa juu ya mawe kwasababu wanawake wamesahau nafasi zao

Beijing (Elimu/ Haki sawa) isikufanye ukasahau kuwa sikio halizidi kichwa

Tulieni jomooni acheni ujinga

Narudia kuwa mwanaume akijisaidia husimama mwanamke hukaa/huchuchumaa ... usitake kusimama kama mwanaume utaumia

Alafu kama uko kwenye ndoa usimnyimee mpeee sa we kila siku umechoka woi. ..

Ni hayo tu kwa Leo, nadhani Somo nimeeleweka

Nitumie
 
Wanapotoshwa vipi?!
Mimi nimewapotoshaje

Hapo hujawapotosha... Umewaeleza ukweli...

Mkubali mkatae this is a man's world...

Hata historia inaeleza alianza Adam, baadae Eve akaletwa kama msaidizi... ingawa hapo kati kuna ka-demu nakasikia sikia kalikua na Adam kabla ya Eve... kanaitwa Lilith..

Cc: mahondaw
 
Hayo mambo ya Beijing ni mpango wa shetani via his agents kuleta mfarakano kwa binadamu.
 
Hayo mambo ya Beijing ni mpango wa shetani via his agents kuleta mfarakano kwa binadamu.
 
Back
Top Bottom