Ushauri: Wanaume husimama, Wanawake hukaa...

Ushauri: Wanaume husimama, Wanawake hukaa...

Niaje? !

Naomba twende sawa tu wanawake wenzangu:

Ni lazima tukumbushane kuwa

1. Wanaume wakienda kujisaidia haja ndogo husimama

2. Wanawake wakienda kujisaidia haja kubwa hukaa kama sio kuchuchumaa

Sasa mwanamke unapotaka kumzidi mwanaume kwenye maisha ndio huleta haya matatizo yooote ya vilio kwenye Jamii kama

A. Wanaume wanachepuka
B. Wanaume wa sikuhizi wabaya
C. Wanaume wana vibamia
D. Wanaume hawajui kitu ndio mana tunapenda wazee

Unajua wewe kama mwanamke ukishajua haki zako kwenye mahusiano / mapenzi / ndoa na ukajitambua wewe ni nani (mwanamke ni shingo na sio kichwa) haya malumbano yooote yataisha

Mbona mama zetu waliishi na baba zetu vizuri?!

Vumilieni vijana ndoa nyingi na mahusiano mengi ya vijana zinakuwa juu ya mawe kwasababu wanawake wamesahau nafasi zao

Beijing (Elimu/ Haki sawa) isikufanye ukasahau kuwa sikio halizidi kichwa

Tulieni jomooni acheni ujinga

Narudia kuwa mwanaume akijisaidia husimama mwanamke hukaa/huchuchumaa ... usitake kusimama kama mwanaume utaumia

Alafu kama uko kwenye ndoa usimnyimee mpeee sa we kila siku umechoka woi. ..

Ni hayo tu kwa Leo, nadhani Somo nimeeleweka




Umeongea point....wanawake kama wewe wapo wapi siku hizi?
 
Ujue ivi vibamia vimeanza kuonekana miaka ya ivi karibuni, ni kwa sababu wanawake wa sikuiz wana mabwawa ya mtera na kidatu,, So wanatafuta visingizio kua wanaume sikuiz wana vibamia, sijui zaman walikua wana nini kudadeki!! Au sikuiz Mbo zinapungu maumbo badala ya kukua kila siku?
 
Back
Top Bottom