Ushauri: Wanasiasa mnaojijua bado hamjamaliza Uhuni wenu mkiteuliwa na Rais muwe mnakataa ili msije Kumharibia na Kujiaibisha

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Kuna Mtu tokea akiwa Masomoni Chuo Kikuu niliambiwa kuwa alikuwa ni Mhuni ( Mpenda Ngono hovyo hovyo ) nikawa bado mgumu Kuamini.

Mtu huyo huyo tena akaniambia kuwa Mwanaume aliyenae sasa siyo wa Kwanza kwani alishakuwa na mwingine ila walishindwana kwa tabia yake ya kupenda Uhuni ( Ngono ) na akasema ipo Siku nitakuja Kumuamini.

Leo kuna Picha nimeiona mahala na kilichonichukiza zaidi ni kwamba Picha ya Nguo hiyo hiyo aliyoivaa akifanyia Uhuni wake wa Awali ( Denda ) ndiyo nimemuona akiwa nayo mahala fulani akihutubia ( akizungumza ) na Watendaji fulani fulani na sijajua hata alioga Saa ngapi kwani kuna wengine Wakilana Madenda Sirini ( Ikuluni ) mwao vile Vilainika vya Kibaiolojia huwa vinatoka ili kuonyesha Ushirikiano.

Nasikia kuna Cabinet Reshuffle Wikiendi hii au Wiki ijayo na kama nikiona Mheshimiwa Rais Samia hajambadilisha / hajamtoa hapo huyu Muhuni ( Mpenda Ngono ) basi nitaamini kweli kuna Watanzania wanajua Kuroga au wana Mizimu mikali.

Hakuna Jambo ambalo huwa linanikwaza zaidi Mightier Mimi pale kama nikiwa nampenda na Kumheshimu Mtu fulani na nikawa hata namtetea pale akisemwa vibaya nikaja kukuta kumbe ni kweli ana Matatizo na tabia za Kihuni ( Kifirauni )

Nimesitika huenda kuliko wengi wenu.
 
Utendaji kazi wake Upoje?

Hayo mengine ni ya kwake.
Kwahiyo Utendaji wa Waziri ukiwa ni mzuri ila nje katika Maisha yake binafsi anafanya Uhuni (Ufirauni ) mwingi Ethically Kwako Wewe ni sawa sawa?

Kuna Watu ni Wapumbavu hadi najiuliza kwanini Mwenyezi Mungu alipoteza muda wake Kuwaumba na kuja kuwa Kero hivi kwa wenye Akili.
 
Kwahiyo Utendaji wa Waziri ukiwa ni mzuri ila nje katika Maisha yake binafsi anafanya Uhuni ( Ufirauni ) mwingi Ethically Kwako Wewe ni sawa sawa?

Kuna Watu ni Wapumbavu hadi najiuliza kwanini Mwenyezi Mungu alipoteza muda wake Kuwaumba na kuja kuwa Kero hivi kwa wenye Akili.
Naam bora mwenye mambo binafsi mabaya afanyae kazi kuliko mtukufu anayeharibu kazi aliyopewa afanye...., Unless otherwise wizani hapo kazi yake ni kufundisha ethics
 
Kinachomata ni utendaji kazi tu! Kwani ni mwanaume gani asiyegonga! Kwani ni mwanamke gani asiyegongwa! Hilo mbona liko wazi, kama angekuwa mwanamke na hagongwi au angekuwa mwanamme na hagongi basi angekuwa na kasoro!! Kwa jinsi watu wanavyogongana na kugongwa laiti kama siku bao lingekuwa na mlio basi Tanzania tungejikuta kama tuko KANDAHAR
Tushukuru bao halina mlio!!
 
Umekumbuka kunywa Kidonge chako cha Ugonjwa wa Akili ulionao leo?
 
Kuna mtu asiyependa ngono? Kama wewe haupendi ngono hayo ni matatizo yako. Cha muhimu ni utendaji wa huyo unayetaka kumfitinisha na wakuu wake. Mambo yake binafsi hayatuhusu.

Amandla...
 
Kuna mtu asiyependa ngono? Kama wewe haupendi ngono hayo ni matatizo yako. Cha muhimu ni utendaji wa huyo unayetaka kumfitinisha na wakuu wake. Mambo yake binafsi hayatuhusu.

Amandla...
Tena hawa wanaojifanya wao hawapendi ndio wabaya hawa, wakiwa kwenye ngono wanakatika mauno kuliko paka chongo!
 
Back
Top Bottom