USHAURI: Walimu wakatwe mishahara tuwaongezee Wahudumu wa Afya

Turudi kwenye mada,nimeona nitoe ushauri kwa serikali yetu Tukufu kuwa waalimu wote Tanzania nzima,wakatwe mishahara yao na kinachopatikana kiongezewe kwa wauguzi waliokatika shughuli nzito ya kupambana na ugonjwa kama Corona huku waalimu wakiwa mapumzikoni bila kazi yoyote.
Hiyo itakua ni kunyume na sheria za kazi
Makato kwa mtumishi ni yaleo yalioainishwa kwenye mkataba,kama,bima,nssf,chama cha wafanyakazi,mkopo na kodi
 
Hilo LA kuongezewa watu wa sekta ya afya Hapana.. Kama mshahara wao ni laki 5 kwa mwezi uendelee kuwa huohuo.. Coz kazi wameipenda wenyew na walisharidhia hiko kiwango cha fedha... Kwanza kumbuka haya ni moja ya majukumu yao katika kazi..
Ni bora ungelisema fedha za waalimu zikatwe kiasi kiago then ziingizwe ktk mapambano ya kutokomeza huu ugonjwa
 
Unaongea upuuzi Yan mwalim akatwe mshahara wakati Kuna watu wanapokea Zaid ya m6 na posho kibao acha ubinafs
Kutokana na hari iliyopo duniani kwa sasa ni dhahiri tumeona umuhimu wa wauguzi wa sekta ya afya na pia ni watu wanaohitajika kulindwa na kutunzwa kwa hari yoyote ile ili wasiwe na manung'uniko na wanachokifanya.

Turudi kwenye mada,nimeona nitoe ushauri kwa serikali yetu Tukufu kuwa waalimu wote Tanzania nzima,wakatwe mishahara yao na kinachopatikana kiongezewe kwa wauguzi waliokatika shughuli nzito ya kupambana na ugonjwa kama Corona huku waalimu wakiwa mapumzikoni bila kazi yoyote.

Pia ugonjwa huu ukiisha na waalimu wakirudi katika shughuli za kikazi ndio walejeshewe mshahara wao wa mwanzo na wauguzi warudi katika kiasi walichokuwa wanalipwa sasa.

ASANTENI

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii nchi ina walimu tu? Kwanini usiongelee wafanyakazi kuongezewa motisha kwenye utandaji wao. Kuna walimu wanamakato ya mikopo kila mwezi na mshahara anaopleleka nyumbani ni 100,000/- kwa mwezi....
 
Nadhani mtoa mada ni matunda ya elimu aliyofundishwa na madaktari na wauguzi mpaka uwezo wake wa kufikiri umefikia hapo , angekua amefundishwa na walimu sidhani kama angekua na uwezo wa kufikiri jinsi hii pamoja na wote wanaosapoti maoni yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada unazingua. Zile pesa zinazochangwa na watu ndizo zitumike kuwalipa posho wahudumu wa afya. Shule ztaendelea na walimu watafanya kazi extra kufidia baada ya hili janga kuondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom