Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,408
- 25,933
Mwalimu kuwa na stahaWewe dogo tubet hapa,Kama sio lichawi wewe,Basi utabeba mzigo wangu.Nyambafu kabisa,Tena inaonekana uchawi huo ulizaliwa nao kabisa.
Mwalimu kuwa na stahaWewe dogo tubet hapa,Kama sio lichawi wewe,Basi utabeba mzigo wangu.Nyambafu kabisa,Tena inaonekana uchawi huo ulizaliwa nao kabisa.
Kwenye huu uzi nimegundua walimu wana lugha chafu sana. Sijui wanawafundisha nini watoto wetu kama uchangiaji wao ndio huo uliojaa matusi
Thibitisha kwamba mm Ni mwalimu,sipendagi TU watu wanavyodharauliwa.Mwalimu kuwa na staha
Ni kweli dharau mbaya sanaThibitisha kwamba mm Ni mwalimu,sipendagi TU watu wanavyodharauliwa.
Hiyo itakua ni kunyume na sheria za kaziTurudi kwenye mada,nimeona nitoe ushauri kwa serikali yetu Tukufu kuwa waalimu wote Tanzania nzima,wakatwe mishahara yao na kinachopatikana kiongezewe kwa wauguzi waliokatika shughuli nzito ya kupambana na ugonjwa kama Corona huku waalimu wakiwa mapumzikoni bila kazi yoyote.
Kutokana na hari iliyopo duniani kwa sasa ni dhahiri tumeona umuhimu wa wauguzi wa sekta ya afya na pia ni watu wanaohitajika kulindwa na kutunzwa kwa hari yoyote ile ili wasiwe na manung'uniko na wanachokifanya.
Turudi kwenye mada,nimeona nitoe ushauri kwa serikali yetu Tukufu kuwa waalimu wote Tanzania nzima,wakatwe mishahara yao na kinachopatikana kiongezewe kwa wauguzi waliokatika shughuli nzito ya kupambana na ugonjwa kama Corona huku waalimu wakiwa mapumzikoni bila kazi yoyote.
Pia ugonjwa huu ukiisha na waalimu wakirudi katika shughuli za kikazi ndio walejeshewe mshahara wao wa mwanzo na wauguzi warudi katika kiasi walichokuwa wanalipwa sasa.
ASANTENI
Sent using Jamii Forums mobile app
Dadmomo jina la kishoga kabisaIla walimu mna hasira sana. Tatizo ni nini ?
You are entitled to your opinion , sir
Hii nchi ina walimu tu? Kwanini usiongelee wafanyakazi kuongezewa motisha kwenye utandaji wao. Kuna walimu wanamakato ya mikopo kila mwezi na mshahara anaopleleka nyumbani ni 100,000/- kwa mwezi....Kutokana na hari iliyopo duniani kwa sasa ni dhahiri tumeona umuhimu wa wauguzi wa sekta ya afya na pia ni watu wanaohitajika kulindwa na kutunzwa kwa hari yoyote ile ili wasiwe na manung'uniko na wanachokifanya.
Turudi kwenye mada,nimeona nitoe ushauri kwa serikali yetu Tukufu kuwa waalimu wote Tanzania nzima,wakatwe mishahara yao na kinachopatikana kiongezewe kwa wauguzi waliokatika shughuli nzito ya kupambana na ugonjwa kama Corona huku waalimu wakiwa mapumzikoni bila kazi yoyote.
Pia ugonjwa huu ukiisha na waalimu wakirudi katika shughuli za kikazi ndio walejeshewe mshahara wao wa mwanzo na wauguzi warudi katika kiasi walichokuwa wanalipwa sasa.
ASANTENI
Sent using Jamii Forums mobile app
Shule zikifunguliwa tu, shida za watu kama mtoa mada hatutaziona tenaMawazo ya kijinga mno hujawaona wabunge wakurugenzi maafisa wakubwa ila umeona laki 3 ya mwalim inaonekana bado huna mtoto subil ukikuwa upate mtoto utajua umuhimu wa mwalim
We.unadhani tatizo la walimu kuwa na hasira ni Nini?Ila walimu mna hasira sana. Tatizo ni nini ?
waalimu ndio rahisi kuwakata mshaharaMburura mkia mfupi wewe, kwa hiyo umeona katika watumishi wote waalimu ndo wamesababisha Corona?
Ushuzi wako mrefu....
Sent using Jamii Forums mobile app