Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 831
- 768
- Thread starter
- #81
kabisa mwalimu wa maarifaUshauri wa kuandika kwenye essay ya form two
Boresha maisha ya daktari nesi bila kuharibu maisha ya mwingine,unaposomea udaktari unesi ukae ukijua Kuna siku utakuwa unahudumia wagonjwa kama wa CoronaKutokana na hari iliyopo duniani kwa sasa ni dhahiri tumeona umuhimu wa wauguzi wa sekta ya afya na pia ni watu wanaohitajika kulindwa na kutunzwa kwa hari yoyote ile ili wasiwe na manung'uniko na wanachokifanya.
Turudi kwenye mada,nimeona nitoe ushauri kwa serikali yetu Tukufu kuwa waalimu wote Tanzania nzima,wakatwe mishahara yao na kinachopatikana kiongezewe kwa wauguzi waliokatika shughuli nzito ya kupambana na ugonjwa kama Corona huku waalimu wakiwa mapumzikoni bila kazi yoyote.
Pia ugonjwa huu ukiisha na waalimu wakirudi katika shughuli za kikazi ndio walejeshewe mshahara wao wa mwanzo na wauguzi warudi katika kiasi walichokuwa wanalipwa sasa.
ASANTENI
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa hujui chochote kuhusu Uchaguzi.Hata mie zamani nilikuwa na mawazo Kama yako kuwa wale wanaosimamia Uchaguzi vituoni ndio wanaopindua matokeo.Wakatwe tu,maanaWamezidi mno unyumbu,hawa si ndiyo wasimamizi wa chaguzi zote,na wakipewa 20,000=wanapindua matokeo.
Unaamini kuwa wanaosimamia Uchaguzi kituoni ndio huwa wanapindua matokeo?
Nilikuwa na mawazo Kama yako zamani.Na sikuishia tu kuwa na mawazo Kama hayo,nilipata ujasiri wa kudadisi hayo matokeo huwa yanapinduliwa namna gani kwenye kituo Cha kupigia kura?nazani cha moto wamekipata miaka 5 jiwe kafunga vioo kama hawajui vile ila cha kushangaza utawaona kweny UCHAGUZI wanavyo pindua meza kumpitasha Tena jiwe sijui wanaubongo wa namna gan hawa viumbe
Watanzania wengi wanajidanganya kuwa kura huwa zinaibiwa vituoni halafu anayesema hivyo hata kura utakuta hajapigaLete ushahidi tafadhali
unajua maana ya permanent employee?Kutokana na hari iliyopo duniani kwa sasa ni dhahiri tumeona umuhimu wa wauguzi wa sekta ya afya na pia ni watu wanaohitajika kulindwa na kutunzwa kwa hari yoyote ile ili wasiwe na manung'uniko na wanachokifanya.
Turudi kwenye mada,nimeona nitoe ushauri kwa serikali yetu Tukufu kuwa waalimu wote Tanzania nzima,wakatwe mishahara yao na kinachopatikana kiongezewe kwa wauguzi waliokatika shughuli nzito ya kupambana na ugonjwa kama Corona huku waalimu wakiwa mapumzikoni bila kazi yoyote.
Pia ugonjwa huu ukiisha na waalimu wakirudi katika shughuli za kikazi ndio walejeshewe mshahara wao wa mwanzo na wauguzi warudi katika kiasi walichokuwa wanalipwa sasa.
ASANTENI
Sent using Jamii Forums mobile app
We K tuKutokana na hari iliyopo duniani kwa sasa ni dhahiri tumeona umuhimu wa wauguzi wa sekta ya afya na pia ni watu wanaohitajika kulindwa na kutunzwa kwa hari yoyote ile ili wasiwe na manung'uniko na wanachokifanya.
Turudi kwenye mada,nimeona nitoe ushauri kwa serikali yetu Tukufu kuwa waalimu wote Tanzania nzima,wakatwe mishahara yao na kinachopatikana kiongezewe kwa wauguzi waliokatika shughuli nzito ya kupambana na ugonjwa kama Corona huku waalimu wakiwa mapumzikoni bila kazi yoyote.
Pia ugonjwa huu ukiisha na waalimu wakirudi katika shughuli za kikazi ndio walejeshewe mshahara wao wa mwanzo na wauguzi warudi katika kiasi walichokuwa wanalipwa sasa.
ASANTENI
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti nyumbu!! We shoga, unathubutuje kuwaita walimu wako nyumbu?Wakatwe tu,maanaWamezidi mno unyumbu,hawa si ndiyo wasimamizi wa chaguzi zote,na wakipewa 20,000=wanapindua matokeo.
Kwani walimu ndo NEC?nazani cha moto wamekipata miaka 5 jiwe kafunga vioo kama hawajui vile ila cha kushangaza utawaona kweny UCHAGUZI wanavyo pindua meza kumpitasha Tena jiwe sijui wanaubongo wa namna gan hawa viumbe
Alimchumbia bidada mwalimu akakataliwa. Ana hasira hadi na walimu wanaume.Uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo au usikute umekopa akili huwezi kukaa na kufikiri mambo mengine uwaache walimu au wamekugongea mke au demu wako