Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,654
Wakulima mnabidi mtambue kuwa siasa na biashara ni vitu viwili tofaut. Huyu mdudu siasa anayeingilia biashara ya korosho kuweni makini naye sana. Mwisho wa siku mtaumia nyinyi.
Serkali ya Tanzania haiwezi panga bei ya mazao yoyote yanayouzwa kimataifa. Zao kma korosho bei yake inapangwa na forces of demand and supply.
Mwaka jana bei ilkuwa kubwa had kufikia 4000 kwa kg ni kwasababu demand ilkuwa kubwa kuliko supply. Yan kuna nchi kubwa zilzokuwa zikizalisha korosho kwa wing kukumbwa na shambulio la wadudu ambao walipunguza uzalishaji katika nchi izo. Hivyo bas supply ikawa ndogo kuliko mahitaji ya soko la korosho. Hata hivyo hii ilikuwa tu mwanzoni mwa msimu wa mavuno, kuja kufika mwishoni mwa msimu mwaka jana, korosho ilishuka bei had kufikia 2000 kwa Kg.
Wengi waliokuwa hawaelewi au walijitoa fahamu tu, walisifu serkal ya awamu ya tano kuwa ndyo imepandisha bei wakati haikuwa ivyo na haitaweza hata siku moja kupandisha bei ya korosho kuwa zaid ya bei ya kimataifa.
Kama Tanzanite inayopatkana Tanzania tu, tumeshindwa ipangia bei ya kmataifa, je ya korosho tunawezaje?
USHAUR WANGU.
Wakulima uzeni korosho kwa bei unayoona inakupa masilahi wewe. Mkisubiri bei ya magufuli itakula kwenu. Magufuli mwenyewe hawezi nunua kwa iyo bei aliyoelekeza. Mtaishia kukopwa na malipo mtayasotea kama wastaafu wanavyosotea viinua mgongo vyao.
PIA
kumbukeni korosho inavyozidi kukaa, ndivyo inavyozidi kupungua na uzito pamoja na ubora.
Mwisho wa siku mtaambiwa mzile wenyewe kama wakulima wa mbaazi walivyoambiwa.
Alafu serkali ya magufuli haijawahi kufanikiwa katika swala la kupanga bei elekezi kuanzia kwenye Sukari, tumbaku, Mahindi, mbaazi, Mafuta na hata ada za shule private.
Siku zote serkal hii inapoingilia bei za vitu ndyo hali inavyozidi kuwa mbaya zaid. Hili lipo wazi kabisa.
Waulizeni wakulima wa tumbaku, mwisho wa siku waliuza kwa bei gani baada ya serkal kupanga bei!
Kama mwaka jana mlinywesha mbuzi bia, mwaka huu jiandaeni kuwalisha korosho.
Cashew exports may fall to 25-year low