Tujifunze stadi za maisha zitakazobadilisha mtindo wetu wa maisha. Mtindo wa maisha ambao ni hatarish unajumuisha
1. Ulaji, soda, vinywaji baridi sana, mayai ya kuku wa kisasa, matumizi ya mafuta mengi ya kula, GMOs n.k, vyote hvyo ni hatari kwa afya yako
2. Ulevi, utakupelekea kufanya mambo hatarish ambayo yamkini hungefanya kama hujalewa
3. Uasherati, tb, kisonono, kaswende, pangusa, saratani ya koo, ya kizazi, hepatitis, n.k, yote hayo yanaweza kuwa ignited na uasherati
4. Utumizi madawa ya kulevya, athari zake zipo wazi
5. Unrealistic expectations , inasababisha stress kila mahala ktk mwili wako
6. Ulalaji na afya ya uzazi; kupiga madawa ya mbu vyumbani, kulala muda mfupi, kulala chini ya chandarua chenye dawa, matumizi ya madawa ya uzazi wa mpango. Vyote hvyo ni vichapushaji vya maradhi hasa saratani ya damu, ya ngozi, ya kizazi, ya matiti, ya mapafu n.k.
Inshort, maisha yako, chaguo lako. Ishi kwa tahadhari, ishi kwa kujilinda, mtukuze Mwenyezi MUNGU.