Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,551
- 6,518
Leta 20,000 tuka waroge wa takutafuta wenyewe ndani ya siku 3, na pesa yako na simu na kukuomba msamaha sio masihara watu wapoHabari za asubuhi ndugu zangu awali ya yote tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama.
nahitaji ushauri ndugu zangu ni hivi, Siku ya jumamosi nilitafuta hawa vijana wanaouza simu online, kuna simu niliipenda kwa bahati mbaya baada ya kumpigia muhusika nilikuta imeshatoka.
Bac muhusika akaniahidi kupiga simu ofisi ndogo ya kariakoo kwa siku ya kesho ambayo ilikuwa jumamosi ili kunichekia stool kwa bei tuliokuwa tumekubaliana. Ila yeye ofisi yake ipo makumbusho.
Ni kweli ilipofika jumamosi asubuhi muhusika alinitafuta akaniambia simu niliyokuwa nikihitaji imepatikana ila kaongea na mtu wa stool kwamba yeye ndio kanituma nimchukulie hiyo simu kwa bei ya 160k kwamba anamchukulia mdogo wake,
Tukaelewana basi akanitumia namba ya mtu wa stool tukawasiliana nikamuelekeza hivo kwamba jamaa kaniagiza simu aina flani nimpelekee makumbusho na nimpe kiasi cha 160k,
bac huyu mtu wa karikoo akakubali ila akaniambia niende na mfuko ili bosi asistukie mchezo nkamwambia poa.
Na hapo tulikubaliana wanipe fullbox kabisa.
Bac nikaenda kariakoo maeneo ya mkombozi bank tukakutana na jamaa wa stool akaniomba mfuko na hela hapo ndipo nilipofanya kosa sijui jamaa huwa wanatumia madawa au vp aisee amuwezi amini yule jamaa alinichota akili nikamkabidhi pesa yote 160k na mfuko.
Tukaenda kwenye ghorofa flani akaniambia nimsubili kwa nje baada ya dakika 5 ndio faham zinarudi kwamba nishaibiwa na kweli jamaa alivyotokomea akurudi.
Bac nikawapigia simu awakupokea wote wawili hapo nkajua tayari nishakaribishwa mjini. Bac kuna watu wakanishauri niende msimbazi polisi kuchukua rb ni kweli nikaenda msimbazi nikawaelezea jinsi tukio lilivyotokea askari wakaniambia wao awawezi kunipa rb sababu huo ni wizi wa kuaminiwa inamaana kwamba mimi nilimuamini mtuhumiwa wangu nikamkabidhi pesa hivyo niende mahakamani kufungua kesi ya madai.
Bac nikaondoka zangu ni sijamwambia mtu yoyote kuhusu hilo tukio. Ndio nimeona nililete kwenu mnisaidie ni vp naweza kuwapata watuhumiwa wangu maana awajazima simu wanapatikana muda wote ila simu yangu ndio awapokei namimi pia sijataka kuwatafuta tena na jana kuna mmoja alinipigia sikupokea coz nilikuwa mbali na simu ila baadae nikamchek akapokea halafu akasema atanitafuta ndio ajanitafuta mpaka sasa.
Mnaweza kuniona mjinga lakini kiukweli kwa muda ule fahamu zilikuwa zimefungwa sijui ni dawa au ni nini? Ila ndio hivo nahitaji ushauri wa kuwakamata hawa watu maana simu zao zinapatikana muda wote.
Ahsanteni na karibuni kwa mchango wenu.
pole sana mkuu, hapo cha msingi ni ww kuikubali hiyo hasara ili maisha yaendelee. nasema hivyo kwasababu ukisema ufungue kesi utapoteza muda na pengine pesa zaidi na finally hakuna jipya la maana utakalo pata.Habari za asubuhi ndugu zangu awali ya yote tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama.
nahitaji ushauri ndugu zangu ni hivi, Siku ya jumamosi nilitafuta hawa vijana wanaouza simu online, kuna simu niliipenda kwa bahati mbaya baada ya kumpigia muhusika nilikuta imeshatoka.
Bac muhusika akaniahidi kupiga simu ofisi ndogo ya kariakoo kwa siku ya kesho ambayo ilikuwa jumamosi ili kunichekia stool kwa bei tuliokuwa tumekubaliana. Ila yeye ofisi yake ipo makumbusho.
Ni kweli ilipofika jumamosi asubuhi muhusika alinitafuta akaniambia simu niliyokuwa nikihitaji imepatikana ila kaongea na mtu wa stool kwamba yeye ndio kanituma nimchukulie hiyo simu kwa bei ya 160k kwamba anamchukulia mdogo wake,
Tukaelewana basi akanitumia namba ya mtu wa stool tukawasiliana nikamuelekeza hivo kwamba jamaa kaniagiza simu aina flani nimpelekee makumbusho na nimpe kiasi cha 160k,
bac huyu mtu wa karikoo akakubali ila akaniambia niende na mfuko ili bosi asistukie mchezo nkamwambia poa.
Na hapo tulikubaliana wanipe fullbox kabisa.
Bac nikaenda kariakoo maeneo ya mkombozi bank tukakutana na jamaa wa stool akaniomba mfuko na hela hapo ndipo nilipofanya kosa sijui jamaa huwa wanatumia madawa au vp aisee amuwezi amini yule jamaa alinichota akili nikamkabidhi pesa yote 160k na mfuko.
Tukaenda kwenye ghorofa flani akaniambia nimsubili kwa nje baada ya dakika 5 ndio faham zinarudi kwamba nishaibiwa na kweli jamaa alivyotokomea akurudi.
Bac nikawapigia simu awakupokea wote wawili hapo nkajua tayari nishakaribishwa mjini. Bac kuna watu wakanishauri niende msimbazi polisi kuchukua rb ni kweli nikaenda msimbazi nikawaelezea jinsi tukio lilivyotokea askari wakaniambia wao awawezi kunipa rb sababu huo ni wizi wa kuaminiwa inamaana kwamba mimi nilimuamini mtuhumiwa wangu nikamkabidhi pesa hivyo niende mahakamani kufungua kesi ya madai.
Bac nikaondoka zangu ni sijamwambia mtu yoyote kuhusu hilo tukio. Ndio nimeona nililete kwenu mnisaidie ni vp naweza kuwapata watuhumiwa wangu maana awajazima simu wanapatikana muda wote ila simu yangu ndio awapokei namimi pia sijataka kuwatafuta tena na jana kuna mmoja alinipigia sikupokea coz nilikuwa mbali na simu ila baadae nikamchek akapokea halafu akasema atanitafuta ndio ajanitafuta mpaka sasa.
Mnaweza kuniona mjinga lakini kiukweli kwa muda ule fahamu zilikuwa zimefungwa sijui ni dawa au ni nini? Ila ndio hivo nahitaji ushauri wa kuwakamata hawa watu maana simu zao zinapatikana muda wote.
Ahsanteni na karibuni kwa mchango wenu.
Unataka kumpiga tena?Leta 20,000 tuka waroge wa takutafuta wenyewe ndani ya siku 3, na pesa yako na simu na kukuomba msamaha sio masihara watu wapo
Niwapi hapo mkuuLeta 20,000 tuka waroge wa takutafuta wenyewe ndani ya siku 3, na pesa yako na simu na kukuomba msamaha sio masihara watu wapo
Facebook mzee katika magroup ya kuuza simu usedPole sana hapo umelizwa.
Labda niaanze kwa kukuuliza huyo jamaa wa kwanza uliyewasialiana nae akakupa bei, umejuana nae vipi na mawasiliano yake umeyapata wapi?
Wanaweza wakataka bei gani?Tafta polisi wahonge wamtrack jamaa ashikwe apewe kichapo alipe hela yako mara mbili na ya polisi.
N.B polisi ataekusaidia muwe mnafahamiana ukienda kichwakichwa utapigwa nyingine
Ahsante mkuu kwa ushauri wakoTumia hii iwe kama funzo kwako ili usipigwe kizembe siku nyingine. Kwa swala la kesi ama kupata pesa yako, hiyo sahau. Ushaumizwa hapo.
Kilichokuponza hasa ni tamaa ya kutaka simu ghali kwa bei nafuu, ukijua fika kuwa mwenye duka ilikuwa anaenda kuibiwa endapo ingekuwa kweli.
Jichange uende dukani ukanunue simu nyingine.
Pole sana na usijione mjinga kama wengi watakavyokuita humu maana jamaa wana mbinu mno. Yeyote anaweza kuwa muhanga.
Hii ni ngumu kidogo, ila mkaushie kwa muda hivi then baadae mtafute kwa namba nyingine (isiwe yako) kama unataka simu.Facebook mzee katika magroup ya kuuza simu used
Hili la maana sana ajifanye kmaa kasahau hiviHii ni ngumu kidogo, ila mkaushie kwa muda hivi then baadae mtafute kwa namba nyingine (isiwe yako) kama unataka simu.
Chukua wana nendeni mkamtaitishe sehemu kiume zaidi ili kupooza machungu, lakini kwa haki huwezi pata msaada.