Ushauri wa Shemeji Yangu

Yan mzee stori ndio imeanza halaf na ww ndio umemaliza kuandika!?
 
Ulienda kulinda amani mkuu,wasalimie monduli au lugalo.
 
So So surprise ni kumuonesha umeoa, pili wewe ndo mnunuzi wa Mali zake?
Dunia hiiiiiii.....
Anyway aliyataka mwenyewe ila pia ni mpango wa Mungu may be msingefika popote.
 
So
So surprise ni kumuonesha umeoa pili wewe ndo mnunuzi wa Mali zake?
Dunia hiiiiiii.....
Anyway aliyataka mwenyewe ila pia ni mpango wa Mungu may be msingefika popote.
Mamsapu wangu sijamuoa rasmi. Ni week ijayo tulikua tupeleke posa. Ila kuna jambo kubwa limetokea kwa upande wao kifamilia tumeahirisha till month end.
 
Mabinti wakishapata vihela kidogo wanajisahau kabisa, halafu kuna wale wana vikauli eti kuolewa siyo lazima sana. Teh huyu subiri jua lianze kuzama akifika 28-30 wenzake washawekwa ndani ye bado anasugua benchi ndio ataanza kuwakumbuka ma EX alowachezea.

Mwanamke fanya nyodo zite ila kuolewa kunakupa heshima usijekusema hutakuja kuolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…