Huwezi kulipa fadhila ila unaweza kuwasaidia ingawa yeye kwa maelezo yako wazazi wake hawakuwa na hali ngumu kiasi cha kuhitaji attention yote hiyo. Nasema namuelewa because my sisy did the same. Aliahirisha mambo yake kama kuolewa na kujiendeleza kimasomo ili atusaidie sisi walau kusogea. Aliolewa late na ndoa yake haijadumu. Tofauti ni kwamba yeye hadi leo yupo strong, bado ni mtu ambae tunamtegemea kwa kiasi kikubwaNilishamuuliza, how long nimsubirie. Hana majibu....huyo alikua anajua alitendalo? We unaweza kulipa fadhila za wazazi? Eti mpaka uwajengee? Umri unakungoja? Kwenu hamna nyumba?
Ndio, mamsapu wangu nipo nae muda wote....asipolala kwangu kalala kwake. Sometimes namuacha dukani mazingira andalizi. Uzuri yeye hayuko humu JF....anajionea tabu wala havutiwi nayo. Yule x yupo humu lakini sijali akiijua hii ID. Sina cha kupoteza.Si ndio hivyo j4 unaambata nae kwenda kununua ili aone ulivyo na kifaa kipya???
Hongera kwa kufika sielalione mkuu uko vizur.Habari za Jumapili wadau
Kuna sintofahamu kuhusu usalama wa privacy zetu humu lakini watajua wenyewe. Watakuwa wameshauza ramani ya vita kwa adui. Sasa hatuandiki tena habari wanazozitafuta. Shauri zao....twende kwenye mada.
Mke wa best yangu, rafiki yangu wa kufa na kuzikana, siku moja nilimueleza kitu naye akanishauri bila kumuomba ushauri, au niseme alitoa maoni yake.
Ilikua tunapita mahali karibu na duka, rafiki yangu akaingia dukani kununua baadhi ya vitu mimi nikabaki na shemeji tukitembea mdogo mdogo ili tusije mwacha jamaa mbali. Kipindi hicho wana mwaka 1 tu wa ndoa yao.
Nikamwambia shemeji mi nataka kuoa ila mwanamke ninayetaka kumuoa hayuko tayari kwa sasa, nataka kuforce. Kimsingi mwanamke huyo ameshamaliza masomo na ameshaanza kazi ana kipato cha kujikimu lakini hayuko tayari kwa ndoa muda huu. Akaniuliza sababu ni nini? Nikamjibu mwanamke anasema anahisi ana deni kwa familia yake, yaani anawaza kuijengea, kuihudumia, na kuipa sapoti na hasa mama yake mzazi. Kwa hiyo hadi atakapoona familia hiyo ipo kwenye hatua anayoitaka ndio awe tayari kwa ndoa.
Akahoji, hayo yatachukua muda gani? Jibu langu likawa kwa kweli sijui. Akaniambia, shem huyo mwanamke achana naye. Ndio yule xxx (akamtaja) uliesema mwanafunzi wa chuo? Sasa mtu umekuwa naye miaka yote hiyo alisema umngoje amalize masomo sasa hivi ameanza drama zingine .
Akaendelea, sikia shem, watu mnapofunga ndoa miaka ya mwanzoni mnakomaa sana kujijenga kimaisha. Kama mna viwanja muanze kukomaa kujenga mnajibana hivyo hivyo mnakwenda. Sasa mtu ambaye anawaza kwao, kila kitu kwao, afanye maendeleo na familia yake kwanza ndio aangalie ndoa hamtafika popote. Hii hata kama mwanaume ana mawazo ya leo kwao, kesho kwao, kila kitu kwao hamtafanya lolote. Familia zipo tu na msaada kwa familia hauishi leo wala kesho. Inabidi mkomae mjiimarishe kwanza kisha ndio muangalie kuna nini kimesalia...ina maana ye' anawaza kuendeleza kwao huyo mtashauriana naye jambo gani sasa?
Akauliza, kwani huko kwao ni familia ya shida? Nikamjibu hapana. Familia ya kawaida tu si tajiri lakini sio masikini. Yeye mwenyewe, dada yake na mdogo wao wa mwisho mzee wao kamudu kuwasomesha private tangu shule za msingi na wanaishi vizuri tu. Na mama yake ni mjasiliamali pia ila ndio hivyo tu anataka kuonekana ni hero of the family. Akasema, atakupotezea muda huyo. Oa mwanamke mkae mpange mipango yenu mwanamke anayewaza kwao kila kitu na wakati yuko kwenye ndoa hamtafanya la maana. Ni miaka kadhaa imepita, lakini mpaka leo nayakumbuka maneno yake shemeji.
Siku moja nilijifanya kukomaa naye kuwa mi nataka kupeleka posa kwao la sivyo napiga chini. Alichonijibu....kama unaniacha kisa nimekataa ndoa ni sawa tu. Sipo tayari kwa kweli. Siwezi kukimbilia ndoa baadae inishinde. Nikamuuliza kinamshinda nini? Hana majibu.
Nikapiga chini kimya kimya. Hakugundua. Alikuja kushtuka hatuko kama zamani. Why this, why siku hizi uko kimya, why hivi mara vile. Sikumpa majibu yaliyoeleweka. Soon kidogo nikapata deal nikaenda Sierra Leon nikakaa miaka 2, akawa hanipati kwa simu ukawa ndio mwisho wetu.
Nobody knows tomorrow brother. Angekubali nimuoe unajua ningekuwa naye wapi? Leo mi nna kwangu pakuishi, kitoy na several businesses. Ndoa ni baraka. Tena basi mwanamke anaombwa anakataa?
Tumezoea wanaume ndo tunaulizwa unanioa lini? Sio mdada unakataa mtu aliye tayari kwa ndoa kisa "ulipe fadhila za wazazi" nani kakuambia fadhila za wazazi zinalipwa?
Wazazi wafanyie wema tu, huwezi kuwalipa kamwe hata ufanye nini. Mwemye masikio na asikie.
Jumanne haijafika tu kwani.....



Huwezi kulipa fadhila ila unaweza kuwasaidia ingawa yeye kwa maelezo yako wazazi wake hawakuwa na hali ngumu kiasi cha kuhitaji attention yote hiyo. Nasema namuelewa because my sisy did the same. Aliahirisha mambo yake kama kuolewa na kujiendeleza kimasomo ili atusaidie sisi walau kusogea. Aliolewa late na ndoa yake haijadumu. Tofauti ni kwamba yeye hadi leo yupo strong, bado ni mtu ambae tunamtegemea kwa kiasi kikubwa
Kuna mahali nimesema mimi ni mzigo kwake? Katika maisha kuna kupungukiwa, kuanguka na ukahitaji kunyanyuliwa....kama wewe maisha yako yapo smooth mshukuru Mungu ila sie wengine tunapanda na kushuka, na tunapokuwa tunahitaji kuinuliwa sio kila mtu anaweza kukuinuaMtegemea cha nduguye hufa maskini sio sawa kujisfia eti tunamtegea kwa sehem kubwa we una akili na viungo vyote vya mwili acha kuwa mzigo kwa mwenzako bhana.![]()
Ndio, mamsapu wangu nipo nae muda wote....asipolala kwangu kalala kwake. Sometimes namuacha dukani mazingira andalizi. Uzuri yeye hayuko humu JF....anajionea tabu wala havutiwi nayo. Yule x yupo humu lakini sijali akiijua hii ID. Sina cha kupoteza.
Huwa mbaya zaidi yule aliyempenda kwa dhati halafu akamletea dharau. Huyu ukumbukwa daima hata akiolewaMabinti wakishapata vihela kidogo wanajisahau kabisa, halafu kuna wale wana vikauli eti kuolewa siyo lazima sana. Teh huyu subiri jua lianze kuzama akifika 28-30 wenzake washawekwa ndani ye bado anasugua benchi ndio ataanza kuwakumbuka ma EX alowachezea.
Mwanamke fanya nyodo zite ila kuolewa kunakupa heshima usijekusema hutakuja kuolewa.
Utaua mtu kwa preshaTUENDELEE....
Lakini siku hizi simuoni pale, yuko wapi? Nikahoji. Mwanangu we, bint yangu yule ni mbishi sana. Alipata bwana mzungu alikua anampa hela akataka kujenga huku. Sisi tulimuambia pale nyumbani kuna eneo kubwa tu bado lina nafasi hizo pesa tungejenga pale angalau tungeona kafanya la maana. Sasa huku katupa hela na hakuna kitu. Lakini ajipange tu, atajenga hapa palipobaki. Nikachombeza. "Uwezo huo anao? Kazi pale kasimamishwa huu mwezi wa 3 sasa hivi na kila week anareport polisi. Amefanya nini? Nikauliza. "Kufanya kazi kwenye mazingira ya pesa ni hatari....inasemekana kuna upotevu wa pesa za mteja wao ulitokea na wao ndio watu waliokuwa wanahusika na hiyo account basi yeye na wenzie 3 hawana kazi sasa"
"Mzungu si bado yupo, atamsaidia" Nikasema. "Baba hilo lizungu hata halipo sasa hivi, sijui alimpa nini mwanangu mzee yule unajua alikua anataka kuacha kazi kabisa yaani" Poleni sana. "Asante baba ndio kuzaa huku, nawe kama una bint utakuja kujionea mwenyewe. Mi nikasema ni kuomba Mungu tu. Hawa mabint ni mtihani sana. Basi the meeting was adjourned, lakini mpaka hapa nikawa nishathibitisha tayari kuwa huyu ni mama mkwe.
Tukampa lift bi mkubwa njiani tukipiga story mbili tatu. Tulipofika Kigamboni pale uwanja wa Machava jirani kabisa na kwao akasema mi mnishushe hapa. Ni kweli kabisa ni pale pale nyumbani kwao x wangu.
Nasubiri nimsurprise siku ya kufanya business.
Kwa maelezo niliyoyapata kwa bi mkubwa, demu yuko vile vile kama nilivyomuacha.
Naisubiri Jumanne.
Kuwasaidia hakuishi. Haina maana ukiolewa ndio basi umeiaga familia. Na haina maana hata ukiwajengea ndio basi tena hutawasaidia.Huwezi kulipa fadhila ila unaweza kuwasaidia ingawa yeye kwa maelezo yako wazazi wake hawakuwa na hali ngumu kiasi cha kuhitaji attention yote hiyo. Nasema namuelewa because my sisy did the same. Aliahirisha mambo yake kama kuolewa na kujiendeleza kimasomo ili atusaidie sisi walau kusogea. Aliolewa late na ndoa yake haijadumu. Tofauti ni kwamba yeye hadi leo yupo strong, bado ni mtu ambae tunamtegemea kwa kiasi kikubwa
Kuwasaidia hakuishi. Haina maana ukiolewa ndio basi umeiaga familia. Na haina maana hata ukiwajengea ndio basi tena hutawasaidia.
Na kwa wazazi, kumsomesha mtoto sio investment yako, eti kesho ikulipe. It is your duty and obligation kumpa elimu mwanao. Kama unataka kulipwa muandikishane mkataba na huyo mwanao.