Ushauri wa Shemeji Yangu

Ushauri wa Shemeji Yangu

Haya, muendelezo upo hapa

Cc MUNDENDE
 
Hii stori nataka niijue mwisho wake nitag mkuu, kuna kitu nataka kujifunza hapa.


Ndukiiiii
 
Yan unatuweka roho juu sie wapenda stor acha

Nateseka balaa
 
Jumanne nitag kuna mbuzi mmoja(ex wangu) kuna dalili za kupatwa na jua nayeye.


Ndukiiiii
 
So
So surprise ni kumuonesha umeoa, pili wewe ndo mnunuzi wa Mali zake?
Dunia hiiiiiii.....
Anyway aliyataka mwenyewe ila pia ni mpango wa Mungu may be msingefika popote.
Lucky, hivi umeolewa?
 
Nitag ukiendeleza thread
@LadyRed

 
Haya, muendelezo upo hapa

Cc MUNDENDE
Thanks mkuu, ulimmaliza vizuri sana. Sema na wife wako yuko open minded sana.

Big up!!
 
Natamani mtu aone hii comment na Haya maneno yamuingie akilini..
Ukweli mchungu huu. ...wazazi wengi wa kiafrica wanahizi mindsets za kifala. .na ndio Zinazo turudisha nyuma daily. ...

Unakuta mtu ameanza kunyanyuka kidogo tu kiuchumi basi anafanywa kuwa ni tegemezi wa ukoo mzima --mbaya zaidi na anaye tegemewa kiasi hicho anaona sawa tu...

Hajui kuwa endapo hautojipanga vyema zaidi suala la kuwa na uchumi mkubwa na kushuka kiuchumi ni la muda tu
 
Back
Top Bottom