Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,331
- 14,259
Wakubwa habari za mchana?
Bila shaka mnaendelea vema na majukumu ya ujenzi wa Taifa. Moja kwa moja kwenye mada, Mimi ni moja ya watu ambao wanamfuatilia sana Prof. Janabi, Mkurugenzi mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili. Huyu mtaalamu anatoa ushauri mzuri sana juu ya watu kuzingatia ulaji wa chakula kwaajili ya Afya zao.
Lakini mimi binafsi naona yupo too general, kwasababu watu tunatofautiana kazi tunazofanya,mazingira,hali zetu kiafaya,N.K.
Matharani kuna mtu anasukuma mkokoteni na mwingine anafanya kazi nyepesi(Sedentary jobs) mfano kazi km za benki, halafu wote unawashauri kuwa wawe wanakula mlo mmoja au miwili, halafu unawaambia kuwa waepuke vyakula vya wanga, sasa huyu msukuma mkokoteni au mchanganya zege atapata wapi nguvu za kufanyia kazi?
Mimi nimejaribu kufanyia mazoezi ushauri wa Prof. Kweli mwili unakuwa mwepesi na unajisikia vizuri lakini mwili unakuwa hauna nguvu kiasi kwamba hata mzigo mdogo ambao ulizoea kuubeba unaweza kujikuta unakushinda,
Hata nguvu na stamina ya kuwashughulikia kisawasawa wanawake kwenye 6*6 inapungua sana, nilikuwa napiga bao tatu za fasta lkn sasa moja lenyewe nalitafuta kwa tochi,manii nilikuwa namwaga namlowanisha wife vizuri sana, lkn sasa namwaga kidogo sana.
Mimi ngoja niachane na huu utaratibu nikazane kujilia karanga mbichi,nazi,supu ya pweza,ugari wa dona na maharage, dagaa, samaki, nyama nyama, matunda na mbogamboga, niwe nakula milo mitatu km mwanzo ili nirudishe urijali wangu.
Namkubali sana Prof.Janabi lkn hii challenge imenishinda.Kila la heri Profesa wetu.