ushauri wa Net ya Blackberry

DOOKY

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
370
50
Jamani, nina Blackberry na ilikuwa inashika Net kama kawa bila kwenda Tigo kwa ajili ya kulipia ile ya 7000.

Lakini nashangaa juzi imeshindwa kubrowser, nimejaribu kujiunga zaidi lakini imeshindikana.

Msaada plz
 
tatizo linaweza kuwa yao tigo maana nayo siku hizi kama voda tu other wise sometimes virus huwa wanatoa settings zake so jaribu kufanya setting tena ya net ya tigo ya net else jaribu kuweka laini nyingine then test kama inabrowse net au lah then unaweza kujua where to start
 
Jamani, nina Blackberry na ilikuwa inashika Net kama kawa bila kwenda Tigo kwa ajili ya kulipia ile ya 7000.

Lakini nashangaa juzi imeshindwa kubrowser, nimejaribu kujiunga zaidi lakini imeshindikana.

Msaada plz

sio lazima wote muwe na bb bana rudi kwenye simu yako ya tochi basi ..
 
NETzipi hzo?hizi hizi za Dr.Baba Mwanaisha??kama hizo ukiwa na mimba unachangia kwa gharama ndogo.Zile zingine bure lakini mpaka tutimize miaka 70 ya uhuru.
 
JS, Tigo wanachaji kiasi kikubwa enver

Lakini una uhakika bundle ya BB service bado unayo? ulijaribu kuzima na kuchomoa betri na kuiacha kwa muda na kurudisha tena?
 
Back
Top Bottom