Ushauri wa mails hosters na domain

Wakuu naombeni ushauri hasa kwa wale wazoefu wa hizi ninakibiashara changu sasa nataka ninunue domain nitumie kwenye upande email mfano info@jorunalbooks.com Na pia upande wa ku host mail inakuwaje!

Natanguliza shukrani.

Unaweza kusajili domain na kulipia Hosting package ya bei rahisi kupitia mawakala waliopo tanzania.

Check extremeweb, hosting tanzania, infoCom, Habari Nod, Yatosha, WeHost
 
Unaweza kusajili domain na kulipia Hosting package ya bei rahisi kupitia mawakala waliopo tanzania.

Check extremeweb, hosting tanzania, infoCom, Habari Nod, Yatosha, WeHost
Shukrani sana mkuu
 
Wakuu naombeni ushauri hasa kwa wale wazoefu wa hizi

Nina kibiashara changu sasa nataka ninunue domain nitumie kwenye upande email mfano info@jorunalbooks.com Na pia upande wa ku host mail inakuwaje!

Natanguliza shukrani.
Mkuu habari mimi nafanya huduma ya hosting email pamoja na domain registration ni elfu 50 tu kwa mwaka naomba tuwasiliane 0759702766
 
Nielezee kidogo basi hapa mkuu

Gmail hawa unaowajua wewe wana huduma ya kutengeneza custom mail ya jina unalotaka. bei yao sikumbuki ila shughuli zote utamaliza kwenye interface kama ya Gmail lakini ukiwa na email binafsi
 
Gmail hawa unaowajua wewe wana huduma ya kutengeneza custom mail ya jina unalotaka. bei yao sikumbuki ila shughuli zote utamaliza kwenye interface kama ya Gmail lakini ukiwa na email binafsi
Bei ndefu $6 kwa mwezi. Kama upo serious kuliko kulipa hio hela si bora tu ununue office 365?
 
Pata hosting kwa Tsh 110,000\= tu ,Hii ikiwa na mambo yafuatayo unayapata kama offer
1)1GB mysql space ,40GB bandwidth.
2) Free domain .tz
3) Free SSL
Please tucheki WhatsApp 0687 535650
 
Wakuu naombeni ushauri hasa kwa wale wazoefu wa hizi

Nina kibiashara changu sasa nataka ninunue domain nitumie kwenye upande email mfano info@jorunalbooks.com Na pia upande wa ku host mail inakuwaje!

Natanguliza shukrani.
Kama ni kampuni njoo inbox.
3GB kwa 360, 000 kwa mwaka.
Domain (jorunalbooks.com) utapata kwa additional $17.99
 
Back
Top Bottom