Ushauri wa leo kwa kaka zangu

Mi mwanaume mtulivu mno hapana.... mwanaume hekaheka.Mwanaume kuwa na Mimi tu nao ni uzoba.Changamkachangamka bhana[emoji855]

NB:mleta mada upo sahihi [emoji3059]
[emoji28][emoji28]
 
Mtoa mada nakusaidia tu jambo .
1. Usiwe mmojawapo wakumsaidia mwanaume apate mafanikio kupitia wewe .
2. Usimweke mwanaume first priority
3.ukiwa kwenye mahusiano usichukulie serious
4. Usipende kuishi kwa malengo ndani ya mahusiano
5. Usiwe na mwanaume mmoja ukisubiria mabadiliko kama ndoa, au akuone umefanya la maana .
6. Ukiwa pale ndio ushiriki mambo kama sex , usafi ili usiende na magonjwa, kufurahia the moment ya hiyo kipindi .
Usimdhamini mwaname hata siku moja ila mpe vile unavyoweza ila sio utake risk eti akuone tofauti na wengine. Hadi uolewe ndio uje ukabadilishe mifumo ila usimpe mwanaume hela . Usikae kiti cha mwanaume . Wewe ni mwanamke hakuna usawa kati ya hilo
 

Muhimu: Wotu waache ubinafsi.
 
Kweli kabisa 😀👍👍
 

Nadhani Vijana mtanielewa Kwa nini hampaswi kuwathamini na kuwachukulia Serious Wanawake(wengi wapo namna Hii ya aliyeandika comment Hii)

Yote aliyoyaandika hapa, basi wafanyieni hivyo hivyo.

Ingawaje wapo Wadada Wema ambao hawapo kama huyu. Mkiwapata wapeni heshima Yao na muwapende.

WA hivi wachezeeni kisha waacheni solemba
 
Kweli, kuna wengine inawezekana wanatekwa kama hivyo ulivyosema ila sasa sio wote. Wengine ni kile kiburi cha pesa anaanza kufanya vitu ambavyo alishindwa kuvifanya wakati hana kitu.
Ambae hakua makini hapo unaona atakuwa nani, mwanamke au mwanaume ? 😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…