Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 14,980
- 37,290
Aliahribu uwekezaji Mmoja huo ambao nilitumia nguvu zote kupata mkataba kwa kupeleka ushahidi na mikwara juu.Basi na aendelee kukunyoosha huko alipo [emoji23][emoji23]
Ilifungwa Safi kabisa bila shida yoyote na wanaishi poa sanaHivi ndoa ilifungwa kweli ama kuna mtu alipigwa chini??
Mnatusingizia bure..., hata wale wanawake wanaotukubali leo ni kwa sababu hawajapendwa na someone better than us..!Umenena vyema ila wengi wao hawa kaka zetu wakikaa vizuri kiuchumi ndio wanaanza kutafuta wale wanaita type zao ila wale waliohangaika nao kipindi wapo majalala wanawaona washamba.
Pole.Aliahribu uwekezaji Mmoja huo ambao nilitumia nguvu zote kupata mkataba kwa kupeleka ushahidi na mikwara juu.
Na rorho yake ya Pasta Makenzie Shetani lile.
Kwakweli sijawah kuwaza aisee sijaona maajabu ndoa inajengwa na mapenz sio ma dj WA amapiano ukumbiniNdio nikuulize wewe au wewe sio mwanamke lazima upende kwenda ukumbini ukaonekane tausi
😃
Of all the things ni kupelekeshwa ndio sipendagi😀Jamaa alitandaza vibunda achukue jiko fanya mchezo na kupenda 😃
Cases za aina hiyo zipo nyingi tu. Hatuwasingizii hii kitu ipo.Mnatusingizia bure..., hata wale wanawake wanaotukubali leo ni kwa sababu hawajapendwa na someone better than us..!
Shetani la kinyaki Bora ukutane na Chatu.Pole.
Basi kuna wenzako bila kupigwa mziki na sherehe ikafanyika hawaoni km wameolewaKwakweli sijawah kuwaza aisee sijaona maajabu ndoa inajengwa na mapenz sio ma dj WA amapiano ukumbini
Hongera zao.Ilifungwa Safi kabisa bila shida yoyote na wanaishi poa sana
[emoji3578]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shetani la kinyaki Bora ukutane na Chatu.
Maisha hayatabiriki, mabadiliko ya binadamu ndiyo maisha. Kuna ndoa zinachanganywa na wababa na nyingine ni akinamama. Jambo la muhimu ni mtu binafsi kujitahidi kuilinda ndoa yake bila kutegemea mwenzake ailinde! Kulipiza kisasi ndiyo Kifo cha kwanza cha ndoa nyingiUmenena vyema ila wengi wao hawa kaka zetu wakikaa vizuri kiuchumi ndio wanaanza kutafuta wale wanaita type zao ila wale waliohangaika nao kipindi wapo majalala wanawaona washamba.
All in all kikubwa ni maelewano tu then life inaendeleaOf all the things ni kupelekeshwa ndio sipendagi😀
Sawa rafiki.Maisha hayatabiriki, mabadiliko ya binadamu ndiyo maisha. Kuna ndoa zinachanganywa na wababa na nyingine ni akinamama. Jambo la muhimu ni mtu binafsi kujitahidi kuilinda ndoa yake bila kutegemea mwenzake ailinde! Kulipiza kisasi ndiyo Kifo cha kwanza cha ndoa nyingi
Kama enzi za kutokuwa nayo uliendeshwa na kuteswa ukizipata ndo muda wako.Cases za aina hiyo zipo nyingi tu. Hatuwasingizii hii kitu ipo.
Mie sipati waaina hiyo mie ninapata wanaonijali na wakinijali na wajali wewe inaelekea unataka mtu kama mtoa mada akunyenyekee . Akupe attention, akusikilize akujali halafu wewe uwe unaringa ringa ila sisi sio mabinti so hatubembelezi utakacho offer ndio tunareply
Asante kwa niabaHongera zao.
Age ya 18-25 imejaa single mom's sana sana!! Kuna tatizo mahali...Sikuhiz hakuna wanawake kuna OmbaOmba pesa, walevi na madanga... Kiukweli nyie mnaotaka kuoa nawaonea huruma sana maana karibia wanawake wote hawafai... Ndio maana singo maza wanaongezeka kwa kasi... Wanaume wameamua kuishi bila ndoa ili kukwepa kero za ndoa