Secret person
JF-Expert Member
- Sep 23, 2019
- 242
- 358
Habari wakuu...
Naombeni Ushauri wenu hapa wa kisaikolojia. Mimi ni kijana ambaye nimekuwa na hali ya uoga kupita maelezo.
Pindi ninapoamua au kuwaza jambo fulani nimejikuta mapigo ya Moyo yanaenda mbio sana yakiambatana na hofu kubwa sana.
Hii hali imekuwa ikitawala sehemu kubwa ya Maisha yangu jambo linaweza kuwa dogo nitafikiria kwa kina sana hadi naishia kwenye depression kubwa..
Ushauri wakuu ili niweze kutoka kwenye hali hii maana inanipa shida kwenye maisha yanayonizunguka