Secret person
JF-Expert Member
- Sep 23, 2019
- 242
- 358
- Thread starter
- #21
Asante sana mkuu kwa ushauri mzuri sana kiuhalisia nipo kwenye 20's haujakosea hataNatamani mtu angenipa ushauri huu ninao kupa Mapema kabla sijapoteza muda wangu miaka yote hiyo.. "Hakuna njia nyingine ya kusolve tatizo lako.. you are the problem but also you are the potential solution for that problem, Fanya hivi.. " Usitumie nguvu nyingi kuikataa hofu, utapoteza muda na effort bure, ushawahi kusumbuliwa na mtu jeuri mwanzo Ukawa unamwogopa Ila akawa anakuzonga mpaka ukafikia hatua ya Kumwambia "fanya chochote unachoweza maana umenitisha Sana Sasa nimechoka?"
Hakuna njia mkato ya kupambana na hofu, zaidi ya kuiruhusu ifanye chochote baada ya nafsi yako kuchoka.. kubaliana na kuwa hatarini muda wowote Mahali popote pale, fanya maamuzi huku ukitamani kujua Ni kipi kitatokea bila kuogopa, hiyo haimaanishi kuwa ufanye maamuzi hata ya kijinga kisa unataka Kupambana na tatizo la uoga, HAPANA! Njia nzuri Ni kuhakikisha unafanya kila Jambo kwa ufahamu wako wote (100%) na kwa juhudi zaidi ya watu wengine. Kwa haraka naweza sema utakua kwenye middle age crisis.. Kama Prediction yangu itakua ipo sawa Basi utakua kwenye Umri wa miaka 20 na kitu hivi (20's)
Hii Hali hua Ni ya muda tu, upo kwenye transition Period baada ya muda wa kufanya wrong choices and actions Basi utakua sawa Mkuu. Usiogope kufanya chochote unachotamani kufanya maana unaweza faulu ama kufeli, ukifaulu then good for you, Ila ukifeli pia Ni vyema maana Utaongeza hekima.. Be comfortable with being uncomfortable. Nimekua nikipitia tatizo Hilo Pia unaweza Ni PM tuone tunasaidianaje. Stay hard!
Sent using Jamii Forums mobile app