Ushauri wa Kisaikolojia juu ya Hofu niliyonayo...

Secret person

JF-Expert Member
Sep 23, 2019
242
358
Habari wakuu...

Naombeni Ushauri wenu hapa wa kisaikolojia. Mimi ni kijana ambaye nimekuwa na hali ya uoga kupita maelezo.

Pindi ninapoamua au kuwaza jambo fulani nimejikuta mapigo ya Moyo yanaenda mbio sana yakiambatana na hofu kubwa sana.

Hii hali imekuwa ikitawala sehemu kubwa ya Maisha yangu jambo linaweza kuwa dogo nitafikiria kwa kina sana hadi naishia kwenye depression kubwa..

Ushauri wakuu ili niweze kutoka kwenye hali hii maana inanipa shida kwenye maisha yanayonizunguka
 
Natamani mtu angenipa ushauri huu ninao kupa Mapema kabla sijapoteza muda wangu miaka yote hiyo.. "Hakuna njia nyingine ya kusolve tatizo lako.. you are the problem but also you are the potential solution for that problem, Fanya hivi.. " Usitumie nguvu nyingi kuikataa hofu, utapoteza muda na effort bure, ushawahi kusumbuliwa na mtu jeuri mwanzo Ukawa unamwogopa Ila akawa anakuzonga mpaka ukafikia hatua ya Kumwambia "fanya chochote unachoweza maana umenitisha Sana Sasa nimechoka?"
Hakuna njia mkato ya kupambana na hofu, zaidi ya kuiruhusu ifanye chochote baada ya nafsi yako kuchoka.. kubaliana na kuwa hatarini muda wowote Mahali popote pale, fanya maamuzi huku ukitamani kujua Ni kipi kitatokea bila kuogopa, hiyo haimaanishi kuwa ufanye maamuzi hata ya kijinga kisa unataka Kupambana na tatizo la uoga, HAPANA! Njia nzuri Ni kuhakikisha unafanya kila Jambo kwa ufahamu wako wote (100%) na kwa juhudi zaidi ya watu wengine. Kwa haraka naweza sema utakua kwenye middle age crisis.. Kama Prediction yangu itakua ipo sawa Basi utakua kwenye Umri wa miaka 20 na kitu hivi (20's)

Hii Hali hua Ni ya muda tu, upo kwenye transition Period baada ya muda wa kufanya wrong choices and actions Basi utakua sawa Mkuu. Usiogope kufanya chochote unachotamani kufanya maana unaweza faulu ama kufeli, ukifaulu then good for you, Ila ukifeli pia Ni vyema maana Utaongeza hekima.. Be comfortable with being uncomfortable. Nimekua nikipitia tatizo Hilo Pia unaweza Ni PM tuone tunasaidianaje. Stay hard!
 
Nilikuwa na tatizo kama hilo pia, but kwa sasa limeisha, nilijifunza kufanya vitu vinavyo nipa hofu ndio naanza navyo, kwa sasa nipo okay, ingawa sina confidence ya kuongea mbele ya watu wengi, but naamini nitaimprove pia, jitahidi ndugu utashinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani mtu angenipa ushauri huu ninao kupa Mapema kabla sijapoteza muda wangu miaka yote hiyo.. "Hakuna njia nyingine ya kusolve tatizo lako.. you are the problem but also you are the potential solution for that problem, Fanya hivi.. " Usitumie nguvu nyingi kuikataa hofu, utapoteza muda na effort bure, ushawahi kusumbuliwa na mtu jeuri mwanzo Ukawa unamwogopa Ila akawa anakuzonga mpaka ukafikia hatua ya Kumwambia "fanya chochote unachoweza maana umenitisha Sana Sasa nimechoka?"
Hakuna njia mkato ya kupambana na hofu, zaidi ya kuiruhusu ifanye chochote baada ya nafsi yako kuchoka.. kubaliana na kuwa hatarini muda wowote Mahali popote pale, fanya maamuzi huku ukitamani kujua Ni kipi kitatokea bila kuogopa, hiyo haimaanishi kuwa ufanye maamuzi hata ya kijinga kisa unataka Kupambana na tatizo la uoga, HAPANA! Njia nzuri Ni kuhakikisha unafanya kila Jambo kwa ufahamu wako wote (100%) na kwa juhudi zaidi ya watu wengine. Kwa haraka naweza sema utakua kwenye middle age crisis.. Kama Prediction yangu itakua ipo sawa Basi utakua kwenye Umri wa miaka 20 na kitu hivi (20's)

Hii Hali hua Ni ya muda tu, upo kwenye transition Period baada ya muda wa kufanya wrong choices and actions Basi utakua sawa Mkuu. Usiogope kufanya chochote unachotamani kufanya maana unaweza faulu ama kufeli, ukifaulu then good for you, Ila ukifeli pia Ni vyema maana Utaongeza hekima.. Be comfortable with being uncomfortable. Nimekua nikipitia tatizo Hilo Pia unaweza Ni PM tuone tunasaidianaje. Stay hard!
True story
Js face the sh.it!..

Jiandae bt kuwa radhi kwa lolote
Matatizo tumeumbiwa binadamu!.,
Usiogope
 
Mara nyingi hofu ni kitu cha kufikirika tu, tafakari yote uliyohofia je yalitokea? Utagundua kuwa hayakutokea ila uliyapa nguvu kubwa yasiyostahili wala, utagundua unapigana na kivuli tu.
Hofu ni utumwa unaojiingiza mwenyewe, toka humo.
 
Back
Top Bottom