Ushauri wa kijasiriamali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa kijasiriamali

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mwiyuzi, Jan 25, 2012.

 1. Mwiyuzi

  Mwiyuzi JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 861
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 80
  Mimi nimegraduate 2010 sijapata ajira ya moja kwa moja na nimeweza kuweka kiasi cha laki tano, nimepata wazo la kufanya biashara lakini sijajua nifanye biashara gani. Naombeni ushauri wenu ili niweze kujikimu pia natamani nikuendelea kusoma zaidi.
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wadau watakupa wazo,upo wapi?
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  Mkuu unawezaje kupata wazo lakufanya biashara lakini hujui ufanye biashara ipi? inawezekana kuwa na wazo lakufanya biashara halafu hujui ufanye biashara gani?

  Mkuu kwa kifupi wazo zuri la biasharalinatoka kwako wewe mwenyewe, na ni lazima ukae chini uangalie ni vitu ganiuapendelea sanakuvifanya maishani mwako and theni vifanyie kazi kuwa wazo la biashara.

  1. Angalia mazingira uliyoko wewe
  2. soma vitabu vingi sana, anagalia TV mbali mbali kwenye vipindivya uchumi, soma magazeti ya biashara au makala za biashara, safiri sehemumbalimbali za chi hata mkoa,
  3. Jiulize maswari mengi sana kuhusu biasharambalimbali
  4. Cheki watu wengine wanahitaji nini?ni kitu gani unaona watu wanakihitaji?
  5. Hakuna aidia yenye thamani, ukionamoja hiafai achana nayo tafuta nyingine
  6. Je ni watu gani watakuwa watejawako?
  7.Je kuna ghalama kiasi ganizinahitajika katika hiyo biashara unayo taka kuanzisha?
  MAKE KUMBUKA KILA WAZO LINA GHALAMAZAKE, NA HUWEZI KUWA NA MTAJI WA MDOGO UKAJA NA WAZO LA KU IMPORT MAGARI KUTOKAJAPANI

  Na ili ufanikiwe ni lazima uumizekichwa sana, usipende utafuniwe kila kitu, mtu anaweza kukuambia kile anachopenda yeye, na si wewe, hakuna mtu atakupa wazo la biashara unalopenda wewe,atakupa analopenda yeye,

  SO KAA CHINI UMIZA KICHWA NAAMINIUTAKUJA NA WAZO LAKO ZURI SANA

   
 4. F

  FUSO JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  hapo hapo mtaani kwenu anza kuwakopesha wa mama wanaofanya biashara ndogo ndogo kama kuuza mkaa, vitumbua, chapati na hata wale vijana wa chipsi, hakikisha unawafahamu ili wasije kuondoka na hela yako. Dhamana ni vyombo vyake vya ndani ambavyo kwa kuanza nafikiri ni zaidi ya ile hela utaaza kuwakopesha.

  baada ya miaka miwili utakuwa mbali na hutapenda kuajiriwa tena, hata mambenki yalianzia huko huko kwa watu wa chini kabisa.
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0


  :nerd::nerd:
   
 6. Mwiyuzi

  Mwiyuzi JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 861
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 80
  Nipo Dar
   
 7. Mwiyuzi

  Mwiyuzi JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 861
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 80
  :lol::lol::lol::lol:
   
 8. Mwiyuzi

  Mwiyuzi JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 861
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 80
  which is which?

  Nashukuru lakini kwaushauri wako. :eyebrows:
   
 9. FATIE

  FATIE Member

  #9
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  @KOMANDOO thanks kwa shule hii, nimeipenda naichukua!
   
Loading...