Ushauri wa kazi ya ulinzi!

Ushauri wa kazi ya ulinzi!

John Gelas

Senior Member
Joined
Apr 25, 2012
Posts
168
Reaction score
7
Jaman wadau nina mdogo wangu anataka akafanye kaz ya ulinzi,so naomben ushaur kuhusu iyo kaz na madhara yke wadau,thankx all
 
Ni kheri kufanya kazi halali kuliko kufanya isiyo halali,kikubwa wewe ni kumu encourage asikate tamaa,inawezekana hiyo ndio ikawa taaluma yake sasa kwanini asiifanye,isitoshe maisha magumu
 
Ulinzi wa namna gani? Ulinzi binafsi au ktk security companies?
Kama binafsi simshauri afanye lakini kama ktk makampuni mwache afanye tu.

Changamoto
1.mshahara mdogo
2.usalama na bima kazini hawana
3.hakuna mikataba ya ajira
 
ni kampun moja ya full time security mkuu,kwa iyo we umshaur au
 
Ni kheri kufanya kazi halali kuliko kufanya isiyo halali,kikubwa wewe ni kumu encourage asikate tamaa,inawezekana hiyo ndio ikawa taaluma yake sasa kwanini asiifanye,isitoshe maisha magumu

sante xana kwa ushaur
 
yupo kampuni gani?mwambie aende tu ila ajitahidi kuwa mwaminifu kazini
 
Sina njaa kaka namfanyia msaada bure kabisa kwani liupo ndani ya uwezo wake. Ujue hilo
 
Mwambie aje twende nae kama anaogopa kwenda alone uko kwenye ulinzi wake mwambie ani chek kupitia 0685816103
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom