Ushauri wa haraka unahitajika

Ushauri wa haraka unahitajika

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,652
Reaction score
5,133
Habari ndugu

Ujue wahenga husema mficha uchi hazai na mficha maradhi kifo humuumbua, mimi ni muhitimu wa ngazi ya diploma ya uongozi(PA) sijawahi kufanya field yeyote.

Miezi 2 Sasa nahangaika kutafuta field katoka maofisi nimeshatuma takribani kampuni 10 na sijapata jibu lolote, nimeomba kujitolea field ya HR na Admistrative assistant lakini sijapata majibu Sasa kwa juu nimefikoria lbd wanataka yule expert wa hiyo kozi au sijui kuandika barua maaana mie naandikakaga naaply internship katoka nafasi Fulani je,Ni kweli sijui kuandika au tatzo Nini?

Pili mnanishauri vipi au nifanyaje kwa danadana hizi now najionea tabu lakini nafikiria kwenda kufanya kazi ya mtendaji wa mtaa wa kujitolea, je utakuwa ni sawa au najichosha??

Nisaidieni ndugu maana nikifeli madhara kwenu nitakuwa mganga wa kuzuga niwaibie pesa tu.
 
Fresh graduate Miezi 2 umechoka anyway usikate tamaa huko uliko tuma ngojea mwezi wa kwanza mambo yatakua poa alafu kuhusu utendaji wa mtaa Mbona ni kazi tu kama kazi nyingine na watu wanajipigia pesa kama kawa hasa ukipata utendaji wa kijiji kama huku kwetu wao ni kama ma king & queen
 
Hata kujieleza hauwezi, kuandika kwa ufasaha pia hujui na bado unauliza maswali yasiyo kuwa na mantiki ' Hizo barua zako ni akina nani wameziona humu jukwaani mpaka tukusahihishe ? '

Na unasomea uongozi ? Mtendaji mtarajiwa !?
 
Back
Top Bottom