![]()
![]()
![]()
![]()
Yaani kanichekesha!! Ila vitu vingine only the thought of it inachekesha, yaani mimi naweza cheka hadi nikaishia kupigwa kofi.
Atahisi umetumwa na mganga![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kama alipokea koti tu akashushuliwa sijui hilo itakuwaje!!
Inakera sanaHapo pa kumfanyia ubaya mdogo wake ni kweli kapeace. Yanaweza tokea.
Inabore sana lakini kumfurahisha mtu kisa anaweza ku act up.
Huku ni ku reward bad behavior.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahahahha uiii ananiambiaga mbiti umetumwa eh ?/ chadema wamekutuma wewe sio bure !bas toka juz tukio la TL siongei kitu bas akija ananiamsha kwa nguvu jaman ananiuliza LISU Anaendeleaje ?? jaman nakabwaaaaaa! jaman mie siasa siwez! yaan nakabwa jaman !anauliza kwa kebehiii uwii

Mimi kwakweli nitacheka sana, tajikuta naharibu badala ya kutengeneza.Hahah!, acha tu asee!, halafu unakuta wengine wakavuu wanaendelea kama kawa..
Sent using Jamii Forums mobile app
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
huyu mwanafunzi hafai kwakweli,kwakweli wasukuma kuwafundisha inahitaji kipaji. Nalendwa mchukue msukuma mwenzio mkapike michembe tu kwakweli.
haaha haijafika tu mkuu..... jaribu ku m tag hapaaaKwani bado hajaja tu!?
Mtafutie watu wasiojulikana ataacha kukukabahahahahahahahha uiii ananiambiaga mbiti umetumwa eh ?/ chadema wamekutuma wewe sio bure !bas toka juz tukio la TL siongei kitu bas akija ananiamsha kwa nguvu jaman ananiuliza LISU Anaendeleaje ?? jaman nakabwaaaaaa! jaman mie siasa siwez! yaan nakabwa jaman !anauliza kwa kebehiii uwii
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kama alipokea koti tu akashushuliwa sijui hilo itakuwaje!!
Atahisi umetumwa na mganga
Hayo ndio mnayajua, mengine waachie wenye ujuzi wao.Hahah!, kwa kweli. Kama mambo yenyewe haya, tukapike michembe tu...lol!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie kwanza nilivyo na kinyaa acha tu ninyamaze. Yaani bora tu hiyo kuzibinya binya, ila sasa na hivyo visosi si ndio nitacheka hadi nipaliwe!!
yaani nimecheka eti hivyo visosi ndo utacheka mpk upaliwe