Ushauri wa haraka unahitajika

Kama ana ushahidi wowote wa message za mapenzi toka kwa kaka mkubwa basi awaonyeshe mke na mdogo wa huyo kaka. Ni vizuri shetani aumbuliwe mchana kweupe
Na mke pia ahusishwe!!!
 
Kwahiyo jamaa ni nyoka wa kibisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo jamaa ni nyoka wa kibisa

Sent using Jamii Forums mobile app


hana kitu ! na nitamtreat kwa kila kitu ili kumfunga mdomo !amezid mashauzi ! si unajua ukiwa na fweza bar ukimpa ofa anatumwa km hana akili nzuri !ndo nitamchezea shere huyu donlucchese ! unamtuma abadilishe wine alete had glass !hahaah atanyooka! [HASHTAG]#mbitiMchomaFweza[/HASHTAG]
 
Mwanamke alichofanya siyo sahihi kabisa...

Angeanzisha mahusiano sehemu nyingine, siyo mdogo wa aliyemkataa...


Duniani vitu vinavyoleta chuki, uhasama na vita ni pesa na mapenzi (wanawake)



Cc: mahondaw
 


jamani ile sms mpk leo huwa nacheka had nasweat ! mie huwa napenda kusoma txts za aina hyo nakuweka picha kbs jaman nilicheeekkkka !hapana jaman nilicheka mnoo !ila ina ukweli wote! dah niliwakumbuka washona matenge ya ajabu ajabuu hahahahh!usku wewe umenin'giniza lemba kuuubwaa hahahha mama weeeeeeeeeee! dah ngj uitafte hyo text tumpe espy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…