Ushauri wa haraka unahitajika

Yale maziwa ya nido makubwa na ada za wanetu alishalipa?
 
Aunt espy hi[emoji137] miss u mnooo babu Daby hajambo.



Mi naona mdogo mtu aambiwe ukweli maisha mengine yaendelee ukizingatia kaka yke ana mke....awaachie penzi laooo[emoji21]
 
Ninafuraha ya kuwa penzin na wewe dear ila watu wasiojulikana wanaokumendea wananipa mawazo sana

Sent using Jamii Forums mobile app


we unamsikiliza Behaviourist na hukumbuki huu ni mwanzo wa mwezi?? na dawa inaonekana hajameza! we mwangalie kuanzia nxt week km atasumbua ! ni dawa zimeisha ! na huyu le don himsef donlucchese huyu nataka nimpe ofa ya kumpeleka club ! nimemis kias kudance mume walau nicheze' turn up' jaman!hana sumu kabisaaaaa!
 
Niliwahi kukutana na hicho kisanga, afanye km ametoa sadaka hilo penzi lake, yaani amuache mdogo wake john na asimwambie kitu chochote atapata bwana mwingine wa kumuoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka vya design nyingine, maana hukawii kutafutiwa sababu, "anatumia visosa vya aina moja tu"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani umenifanya nicheke we mama!!
Kwakweli hawana jema hawa viumbe, njoo tu uchukue vya aina nyingine usijetafutiwa sababu kwakweli!
 
Ndio kashindwa kupima sasa ikabidi atafute msaada zaidi.
[emoji23][emoji23] yote ni majibu sahihi sema namshauri zaidi aangalie lipi litampa furaha yeye kama kupotezea amkose dogo ts fine kama ataamua kuwa muwazi kwa dogo pia ni sahihi aangalie vipi moyo wake utakua na amani

Madame S
 
Aunt espy hi[emoji137] miss u mnooo babu Daby hajambo.



Mi naona mdogo mtu aambiwe ukweli maisha mengine yaendelee ukizingatia kaka yke ana mke....awaachie penzi laooo[emoji21]
Matokeo ya baada ya kuelezwa ndio yanayomuwazisha bibie, kwakuwa John hayuko tayari kuadmit ukweli. Hivyo bibie anaona kama atakaangwa zaidi.
 

Hivi Mbiti unajua una issues wewe!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…