Ushauri wa haraka unahitajika

Huyo Mme ndio ana vuruga familia yake mwenyewe why anataka MTU mwingine wkt yuko na wa kwake tayari. Mke ajue ili aamue tu, maana hata asipojua Leo ata jua tu wakati mwingine duniani hakuna siri.
And she ll be the one to blame!!
 
Kama huyo mdogo hawezi muamini mpenz wake amuache tu.....lla kabla hawajaachana afanye mchakato wa kumuaribia huyo mpuuzi ndoa yake ili akili imkae sawa.
Ohoooooo!!
Jackie hawezi kufanya hicho kitu cha kumharibia mwenzie kwakweli, sio mtu wa visasi.
 
A billion or so...
Explore other options, unless the clock is ticking against nature[emoji12]
She is very young still. Muda haujamtupa mkono bado, only 23.
 
Siku hizi nikitoka JF kidogo nikirudi nakuta ID kibao zimeunganishwa.

Sasa unafikiri mimi mjinga naweza kuwa na kutongoza wewe kwa ID nyingine.
Id gani zimeunganishwa?
Ulikuwa unanitambulisha wifi kila wiki, now naona zhiiiiiiii!!!
 
Niondoke wapi?
Alafu ujue nimepotelewa na mume!! MO11 ni mwezi wa pili simuoni na kwa mke mwenza Madame B hayupo[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Mwenza nipo.
Ukiona kimya uje unitoe lupango.
Niko nawatafuta "watu wasiojulikana"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…