Ushauri wa haraka unahitajika

Mie kwanza nilivyo na kinyaa acha tu ninyamaze. Yaani bora tu hiyo kuzibinya binya, ila sasa na hivyo visosi si ndio nitacheka hadi nipaliwe!!



duh !una kinyaa? kwann sasa !ina maana hata deep kiss unaona kinyaa !jaman nna ndg yangu yule mwnamke aombewe! yeye ht kausu ka lips hatakag kwa mumewe !hahahah hv umewah wasikia kuna 'baazi' ya wanaume wanatajka kulambwa makwapa yao eti wanastimulate !sasa sijui shogaa hapo utafanyeje ! mie sn kinyaa mrad usiwe unanuka masigara
 
Amueleze dogo MTU ukweli kama yeye alivyoelezwa ukweli

invest what you are willing to lose
 
Kulamba kwapa hiyo asahau, walivyogo na jasho Kali ivo wanaume aah siwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaaaa!! Eti aombewe! Deep kiss hamna shida. Ila hayo mengine hapana jamani, iwe starehe sio karaha.
 

Eti ma nini! [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Halafu na yeye anakulamba kwapa ama! [emoji15]



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…