Ushauri wa haraka kwa CHADEMA

Ushauri wa haraka kwa CHADEMA

Mleta mada naona Hujambo kwa hotuba ndefu wachaga huwa hawapendi hotuba ndefu mtu akifariki mtu akitaka kuongea kuhusu marehemu hawataki Story wanachouliza wewe uliyeguswa unachangia shilingi ngapi sio maneno mangapi? Mleta mada msiba wa ndesamburo unachangia shilingi ngapi ili huyo mzee azikwe kwa heshima zote ulizopendekeza? Msiba ni gharama wewe mselewa unachangia shilingi ngapi? Na mayala unachangia shilingi ngapi?
Kwanza kwa kabila yetu huwa hatutangazii watu tutatoa kiasi gani kwenye misiba, huwa tunaandika tuu kwenye daftari na kutoa cash. Michango ya kutangaza ni kwenye harambee na harusi.

Pili wewe sii ndugu, tafadhali sana usitake kuitia aibu Familia ya Ndesa kuja humu jf kuanza kuomba ahadi za michango ya rambi rambi as if familia ndio wamekutuma uje uhamasishe ku solicit funds humu jf ili azikwe kwa heshima, as if wamepungukiwa hivyo maziko ya heshima yanategemea michango!. No please!, uwe na heshima na misiba ya watu. Watu tunamlilia Ndesa wewe unafikiria utapiga pesa ngapi kwa kutafuta ahadi humu jf!.
Please don't, tena omba msamaha haraka kabla hajazikwa!. Karma ya marehemu kabla hajazikwa ni karma kali sana!.
Rip Ndesa Pesa.
P.
 
Mwenyezi Mungu ailaze mahala pema roho ya Mzee wetu Hayati Mh.Philemon Ndesambulo.
 
Ooh My God! Rest in Peace Mzee Ndesa Pesa. Huyu mzee nilikuwa na issue fulani na yeye kwenye ofisi yake Keys Hotel Moshi kama miaka minne hivi iliyopita wakati akiwa bado mbunge. Ndipo nilipogundua kwamba alikuwa mtu mpenda watu na mwenye roho tajiri na mkarimu mno. Aliwaruhusu waingie ofisini kwake watu watatu mmoja baada ya mwingine ambao kwa mwonekano wao walikuwa maskini sana. Walipomweleza shida zao aliwasaidia pesa na wawili akawaandikia kimemo waende mahali pa kupata msaada zaidi. Sio rahisi mbunge na tajiri mwenye mahoteli ya kitalii ndani na nje ya nchi na ana chopa kadhaa awe na unyenyekevu huo kwa hii Tz yetu tunayoijua. Mungu aweke roho yake pema peponi. Amina.
 
CDM hawawezi kuacha kushiriki huu msiba mzito mwanzo mwisho ndio maana hata M/kiti wa chama Mh Mbowe na wana CDM wote kuanzia bungeni hata nje ya bunge wameelekea kwa mtoto wa marehemu Lucy Owenya kwa taratibu zaidi za kumpumzisha mzee.


Kwa hiyo usihofu mkuu, heshima ya mzee imezingatiwa.

R . I. P Mzee Ndesa
 
CDM hawawezi kuacha kushiriki huu msiba mzito mwanzo mwisho ndio maana hata M/kiti wa chama Mh Mbowe na wana CDM wote kuanzia bungeni hata nje ya bunge wameelekea kwa mtoto wa marehemu Lucy Owenya kwa taratibu zaidi za kumpumzisha mzee.


Kwa hiyo usihofu mkuu, heshima ya mzee imezingatiwa.

R . I. P Mzee Ndesa
Wana cdm tupo na msiba mkubwa sana
 
cdm walienda mzika tapeli mawazo kule mwanza waaanzaje shindwa shiriki kwa ndesa?we nae smtimes uwe unatumia akil kabla ya kuanzisha uzi humu
Hamkosagi watu kama nyinyi! Misiba sio ya kuiwekea ushabiki! Kifo hukijui...hata makaburi huyaoni?
 
cdm walienda mzika tapeli mawazo kule mwanza waaanzaje shindwa shiriki kwa ndesa?we nae smtimes uwe unatumia akil kabla ya kuanzisha uzi humu
Unamaanisha asizikwe mkuu?
 
Unamaanisha asizikwe mkuu?
Hamjanielewa..huyu kenge kajifanya anawashauri CDM nn wafanye wakati n ipo waz kuwa CDM huu msiba umewagusa sana kulko msiba wwte ule uliowah na utakao wai tokea kwa kipind hiki.
 
Hamjanielewa..huyu kenge kajifanya anawashauri CDM nn wafanye wakati n ipo waz kuwa CDM huu msiba umewagusa sana kulko msiba wwte ule uliowah na utakao wai tokea kwa kipind hiki.
Sawa mkuu
 
Kwanza kwa kabila yetu huwa hatutangazii watu tutatoa kiasi gani kwenye misiba, huwa tunaandika tuu kwenye daftari na kutoa cash. Michango ya kutangaza ni kwenye harambee na harusi.

Pili wewe sii ndugu, tafadhali sana usitake kuitia aibu Familia ya Ndesa kuja humu jf kuanza kuomba ahadi za michango ya rambi rambi as if Familia ndio wamekutuma uje uhamasishe ku solicit funds as if wamepungukiwa!, please uwe na heshima na misiba ya watu. Watu tunamlilia Ndesa wewe unafikiria utapiga pesa ngapi kutafuta ahadi humu jf!.
Please! .
Rip Ndesa Pesa.
P.
Huyo dada YEHODAYA hayuko sawa upstairs. Bado ana athari kubwa za kutimuliwa CHADEMA.
 
Hamjanielewa..huyu kenge kajifanya anawashauri CDM nn wafanye wakati n ipo waz kuwa CDM huu msiba umewagusa sana kulko msiba wwte ule uliowah na utakao wai tokea kwa kipind hiki.
Mkuu, uwe na heshima, staha na ustaarabu. Mimi si kenge. Hapa ni mahali pa kubadilishana mawazo na kupashana habari. Si mahali pa kudhihakiana na kutukanana. Chunga ulimi wako Mkuu!
 
Huyu mzee alikuwa bilionea safi kabisa ndio maana hakutikisika alipoamua kufadhili chadema.
Mzee aliheshimika mpaka na watu wa ccm,nakumbuka kauli yake akihutubia watu wa Moshi baada ya mkutano wake kusambaratishwa"Weee Kikwete wewe unanipiga mabomu mimi???"kilichofuata tunajua

Kilifuata nini? Unafiki mtupu
 

    1. Kada wa CHADEMA JF-Expert Member
      [HASHTAG]#234[/HASHTAG]
      51 minutes ago

      Joined: Feb 27, 2016
      Messages: 287
      Likes Received: 582
      Trophy Points: 180
    1. Kuna leadings ambazo zinatia shaka juu ya kifo cha mzee wetu Ndesamburo.

    2. Aligombea uenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini huku akikabiliwa na shutuma kuwa anakipasua chama.
    3. Mbunge wa Moshi Mjini Jaffar Michael alikuwa na ugomvi mkubwa na Mzee Ndesamburo na inashangaza alikuwa na mahaba naye kuanzia wiki moja iliyopita.
    4. Safari ya Kalist Lazaro kwenda kuchukua Fedha za Rambirambi kwa Mzee Ndesamburo imekuwa na wingu nene kwani kabla hajaenda kwa mzee Ndesamburo, alipitia nyumbani kwa Jaffar Michael haijajulikana alienda kufanya nini.
    5. Kalist Lazaro alipoenda kwa Mzee Ndesamburo alikuwa na hofu kubwa inayotiliwa shaka.
    6. Akina Lazaro walimkuta Mzee Ndesamburo anakunywa chai. Alipoingia chumbani kuchukua Check ili aandike kiasi cha fedha kuna uwezekano kuna something iliwekwa kwenye chai na ndio imesababisha umauti wake. Lazaro anajua.
    7. Inadaiwa kuwa Mzee Ndesamburo alikusudia kutoa hundi ya milioni 10 kwa jina la Kalist Lazaro lakini aliandika milioni 100. Alipogundua kuwa amekosea wakati tayari amemkabidhi Lazaro, alimtaka airejeshe ili arekebishe, Kalist akajifanya anaenda kwenye gari kuchukua simu. Akaondoka na cheki hiyo na hakurudi tena. Huku nyuma mzee Ndesamburo hali ilibadilika na ndipo alipokimbizwa hospitali.
    8. Baada ya kifo cha Mzee Ndesamburo, akina Malisa na Ali Bananga wanatumika kusambaza propaganda kuwa Mzee Ndesamburo alikuwa hajaandika Cheque. Uongo mtupu.
    9. Kuna taarifa kuwa fedha hizo Kalist Lazaro alienda kuzitoa kwenye Benki ya CRDB Moshi Mjini kabla ya taarifa ya kifo cha Mzee Ndesamburo kusambaa.
    10. Ndugu wa Mzee Ndesamburo msiharakishe kumzika mzee wenu mpaka uchunguzi juu ya kifo chake ufanyike. Kwani kuna utata umegubikwa hasa kuhusu
Mmmh, kama alikusudia kuandika milion kumi akasahau akaandika milioni 100 inamaana kasahau vyote yaani kwa maneno na kwa tarakimu??
Kama kaandika " pay someone ten million na kwenye tarakimu akaandika 100,000,000 basi hiyo cheki haiwezi kulipwa, and vice versa.
 
Back
Top Bottom