Ushauri wa haraka kwa CHADEMA

Ushauri wa haraka kwa CHADEMA

Mkuu misiba Ya wachaga na wajaluo huwezi kwenda tu kutungua kilio kama wasukuma kuwa rafiki yako mpendwa na ndugu yako na mheshimiwa wako kafa watakuona mjinga tu unachotakiwa kufanya unaenda na burungutu la pesa unakabidhi wafiwa ukishawapa ndio unatungua kilio kuwa marehehemu rafiki yako kafa kaacha pengo na utapata waliaji wa kukuunga mkono kibao. Misiba Ya wasukuma na makabila mengine ni tofauti. Nauliza tena Pascal Mayala na wakili Mselewa mnachangia shilingi ngapi? Maneno yenu Ya pole Na maskitiko hayawezi nunua sanda wala jeneza mnachangia shilingi Ngapi? Maneno matupu ya maskitiko hayachongi jeneza wala kununua sanda
Njoo uchukue rambirambi dada YEHODAYA
 
Kumbe ni dada?!, mimi nawapendaga sana watu wa aina hii wenye matatizo, kwa sababu specialization yangu ni kutatua matatizo ya watu, nitampataje nimsaidie?. Kama anataka kupiga pesa msibani, basi tatizo lake kubwa nimeishalijua na liko ndani ya uwezo wangu!.

P.
Ha ha wachaga hawaamini kwa mtu kulia Sana msibani aliyelia sana msibani ni yule aliyechangia sana kugarimia garama za mazishi
 
Back
Top Bottom