Nshonzi
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 3,057
- 1,882
Thubuuuuutuuuuuuuuuuuuu awape nani?Hofu yangu ccm wasijejipendekeza wakusanye rambi rambi ili wakwapue!
Thubuuuuutuuuuuuuuuuuuu awape nani?Hofu yangu ccm wasijejipendekeza wakusanye rambi rambi ili wakwapue!
OhooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooHuu msiba ni wa kitaifa. CDM wasiuteke kama wao tu. Ndesa ameheshimika sana na amechagiza sana biashara Moshi.
Kwa kuanzia rambirambi ziende kwa mkuu wa mkoa.
Mnajisumbua sana wezi wa rambirambiHuu msiba ni wa kitaifa. CDM wasiuteke kama wao tu. Ndesa ameheshimika sana na amechagiza sana biashara Moshi.
Kwa kuanzia rambirambi ziende kwa mkuu wa mkoa.
Naunga mkono hoja. Hata kama Chadema wenyewe waliishapanga kufanya hivyo, maandamu hakuna anayejua walipanga nini hivyo ushauri huu ni muhimu sana kuuzingatia, na sio tuu kwa heshima ya Marehemu, bali pia kwa mustakabali mwema wa majaaliwa ya Chadema mbele ya safari, kwa kuzingatia sana Tanzania tuna makabila na makabila, mila na mila na imani na imani, miongoni mwa vitu vinavyoheshimiwa sana Kanda ya Kaskazini ni misiba, hivyo ni kweli Chadema isimamishe kila kitu, na kama wanawasombaga watu kwa mabasi na malozi kuwapeleka kushiriki maandamano, sasa wawasombe kushiriki msiba huu mzito!.
Mzee Ndesa na Prof. Beregu ndio viongozi pekee wa Chadema, wenye kuonyesha ukomavu na busara za hali juu, ambao sikupata kuwaona au kuwasikia wakichangia ujinga ujinga, au akishiriki kwenye mambo ya kiajabuajabu ya kiuanaharaka wa Chadema kusiko na maslahi, he was cool, mature, sensible na very wise.
RIP Ndesa Pesa.
P.
Mkuu mbona akama sikuelewi? zikienda kwa mkuu wa mkoa si ndio watazikwapua??Huu msiba ni wa kitaifa. CDM wasiuteke kama wao tu. Ndesa ameheshimika sana na amechagiza sana biashara Moshi.
Kwa kuanzia rambirambi ziende kwa mkuu wa mkoa.
Tokea ubadili ID yako kutoka Pasco na kuwa pascal mayalla, nna wasi wasi na akili yako! Maana kiwango chako cha uchambuzi kinazidi kushuka kila siku, na tunavyoendelea naona kila dalili za kuingia kwenye lumumba buku saba!mila na mila na imani na imani, miongoni mwa vitu vinavyoheshimiwa sana Kanda ya Kaskazini ni misiba, hivyo ni kweli Chadema isimamishe kila kitu, na kama wanawasombaga watu kwa mabasi na malozi kuwapeleka kushiriki maandamano, sasa wawasombe kushiriki msiba huu mzito!.
P.
Mselewa,Kuna taarifa kuwa aliyekuwa Mbunge wa Moshi Mjini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Phillemon Ndesamburo amefariki dunia. Kila mmoja, mwanachama na asiye mwanachama wa CHADEMA atakubaliana nami kuwa Ndesamburo alikuwa mzizi mkuu na ngome ya CHADEMA mkoani Kilimanjaro na kanda ya Kaskazini kwa ujumla.
Ndesamburo alikuwa mpigania chama, mjenga chama, mfadhili wa chama na kioo cha CHADEMA. Ndesamburo ndiye aliyekuwa kielelezo cha CHADEMA kwa kauli na matendo yake. Wananchi wa huko Kilimanjaro na Kaskazini kwa ujumla walivutiwa hadi kujiunga na CHADEMA na matendo na maneno ya Ndesamburo ndani na nje ya Bunge.
Nje ya maisha ya kisiasa, Ndesamburo alikuwa mlezi, mzazi, mnyenyekevu, mcheshi, muungwana, mwenye roho isiyo na inda wala mawaa na mtu mkweli. Aliwapenda waliompenda na hata wasiompenda. Alipendwa kwakuwa alikuwa akiendana na mazingira aliyokuwamo. Ndesamburo alisaidia panapohitajika na kubuni kwa kuwapeleka wananchi wa Tanzania mbele.
Kutokana na umuhimu wake ndani ya CHADEMA na kwa demokrasia ya nchi kwa ujumla, naishauri CHADEMA iahirishe shughuli zake zote na kujihusisha na msiba huo wa Hayati Ndesamburo. Hayo yatakuwa ni malipo yake stahiki kama mwanachama wao, mlezi wao, mpiganaji/kamanda wao, mfadhili wao, kivutio chao na wakujivunia wao.
Najua, Moshi Mjini, Kilimanjaro na Kaskazini yote itatikisika kwa maombolezo. Hakika, Ndesamburo ni nembo ya CHADEMA Bungeni na nje ya Bunge katika siasa za vyama vingi hapa nchini. Rest in peace the late Phillemon Ndesamburo aka Ndesapesa!
Ah mi sjui bwana. Nachojua rambirambi zinaenda kwa mkuu wa mkoa. Labda waseme iwe kwa wa wilayaMkuu mbona akama sikuelewi? zikienda kwa mkuu wa mkoa si ndio watazikwapua??
Tayari yupo kwenye payroll ya lumumbaTokea ubadili ID yako kutoka Pasco na kuwa pascal mayalla, nna wasi wasi na akili yako! Maana kiwango chako cha uchambuzi kinazidi kushuka kila siku, na tunavyoendelea naona kila dalili za kuingia kwenye lumumba buku saba!
Umeandika vizuri ila kuna tuujinga ujinga humo kwenye andiko lako.Naunga mkono hoja. Hata kama Chadema wenyewe waliishapanga kufanya hivyo, maandamu hakuna anayejua walipanga nini hivyo ushauri huu ni muhimu sana kuuzingatia, na sio tuu kwa heshima ya Marehemu, bali pia kwa mustakabali mwema wa majaaliwa ya Chadema mbele ya safari, kwa kuzingatia sana Tanzania tuna makabila na makabila, mila na mila na imani na imani, miongoni mwa vitu vinavyoheshimiwa sana Kanda ya Kaskazini ni misiba, hivyo ni kweli Chadema isimamishe kila kitu, na kama wanawasombaga watu kwa mabasi na malozi kuwapeleka kushiriki maandamano, sasa wawasombe kushiriki msiba huu mzito!.
Mzee Ndesa na Prof. Beregu ndio viongozi pekee wa Chadema, wenye kuonyesha ukomavu na busara za hali juu, ambao sikupata kuwaona au kuwasikia wakichangia ujinga ujinga, au akishiriki kwenye mambo ya kiajabuajabu ya kiuanaharaka wa Chadema kusiko na maslahi, he was cool, mature, sensible na very wise.
RIP Ndesa Pesa.
P.
Mleta mada naona Hujambo kwa hotuba ndefu wachaga huwa hawapendi hotuba ndefu mtu akifariki mtu akitaka kuongea kuhusu marehemu hawataki Story wanachouliza wewe uliyeguswa unachangia shilingi ngapi sio maneno mangapi? Mleta mada msiba wa ndesamburo unachangia shilingi ngapi ili huyo mzee azikwe kwa heshima zote ulizopendekeza? Msiba ni gharama wewe mselewa unachangia shilingi ngapi? Na mayala unachangia shilingi ngapi?Naunga mkono hoja. Hata kama Chadema wenyewe waliishapanga kufanya hivyo, maandamu hakuna anayejua walipanga nini hivyo ushauri huu ni muhimu sana kuuzingatia, na sio tuu kwa heshima ya Marehemu, bali pia kwa mustakabali mwema wa majaaliwa ya Chadema mbele ya safari, kwa kuzingatia sana Tanzania tuna makabila na makabila, mila na mila na imani na imani, miongoni mwa vitu vinavyoheshimiwa sana Kanda ya Kaskazini ni misiba, hivyo ni kweli Chadema isimamishe kila kitu, na kama wanawasombaga watu kwa mabasi na malozi kuwapeleka kushiriki maandamano, sasa wawasombe kushiriki msiba huu mzito!.
Mzee Ndesa na Prof. Beregu ndio viongozi pekee wa Chadema, wenye kuonyesha ukomavu na busara za hali juu, ambao sikupata kuwaona au kuwasikia wakichangia ujinga ujinga, au akishiriki kwenye mambo ya kiajabuajabu ya kiuanaharaka wa Chadema kusiko na maslahi, he was cool, mature, sensible na very wise.
RIP Ndesa Pesa.
P.
Habari za uongo utazijua tu. Zina kaformula. Kwanini points kaweka 10? Kwanini sio 11? Kwanini sio 7 au 8 au 9? Huyo mtu ni muongo na hajui kudanganya
![]()
Kada wa CHADEMA JF-Expert Member
[HASHTAG]#234[/HASHTAG]
51 minutes ago
Joined: Feb 27, 2016
Messages: 287
Likes Received: 582
Trophy Points: 180
- Kuna leadings ambazo zinatia shaka juu ya kifo cha mzee wetu Ndesamburo.
- Aligombea uenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini huku akikabiliwa na shutuma kuwa anakipasua chama.
- Mbunge wa Moshi Mjini Jaffar Michael alikuwa na ugomvi mkubwa na Mzee Ndesamburo na inashangaza alikuwa na mahaba naye kuanzia wiki moja iliyopita.
- Safari ya Kalist Lazaro kwenda kuchukua Fedha za Rambirambi kwa Mzee Ndesamburo imekuwa na wingu nene kwani kabla hajaenda kwa mzee Ndesamburo, alipitia nyumbani kwa Jaffar Michael haijajulikana alienda kufanya nini.
- Kalist Lazaro alipoenda kwa Mzee Ndesamburo alikuwa na hofu kubwa inayotiliwa shaka.
- Akina Lazaro walimkuta Mzee Ndesamburo anakunywa chai. Alipoingia chumbani kuchukua Check ili aandike kiasi cha fedha kuna uwezekano kuna something iliwekwa kwenye chai na ndio imesababisha umauti wake. Lazaro anajua.
- Inadaiwa kuwa Mzee Ndesamburo alikusudia kutoa hundi ya milioni 10 kwa jina la Kalist Lazaro lakini aliandika milioni 100. Alipogundua kuwa amekosea wakati tayari amemkabidhi Lazaro, alimtaka airejeshe ili arekebishe, Kalist akajifanya anaenda kwenye gari kuchukua simu. Akaondoka na cheki hiyo na hakurudi tena. Huku nyuma mzee Ndesamburo hali ilibadilika na ndipo alipokimbizwa hospitali.
- Baada ya kifo cha Mzee Ndesamburo, akina Malisa na Ali Bananga wanatumika kusambaza propaganda kuwa Mzee Ndesamburo alikuwa hajaandika Cheque. Uongo mtupu.
- Kuna taarifa kuwa fedha hizo Kalist Lazaro alienda kuzitoa kwenye Benki ya CRDB Moshi Mjini kabla ya taarifa ya kifo cha Mzee Ndesamburo kusambaa.
- Ndugu wa Mzee Ndesamburo msiharakishe kumzika mzee wenu mpaka uchunguzi juu ya kifo chake ufanyike. Kwani kuna utata umegubikwa hasa kuhusu
Hotuba haziziki mtu mselewa na akina mayala na wengineo mnaojitia mna uchungu sana na kifo cha ndesamburo na mnakuja na mapendekezo kibao mnachangia shilingi ngapi Ili ndesamburo azikwe kwa heshima zote mnazopendekeza?Mselewa,
Nilidhani Chadema haikuhitaji kushauriwa kwenye jambo kama hili.
Nilitegemea ifanye automatically.
Kama hadi wapigiwe kelele jukwaani hali yao itakuwa mbaya kuliko ya wanaotuhumiwa rambirambi.
Huu msiba ni wa kitaifa. CDM wasiuteke kama wao tu. Ndesa ameheshimika sana na amechagiza sana biashara Moshi.
Kwa kuanzia rambirambi ziende kwa mkuu wa mkoa.



watakula kama zile za ArushaNyie pelekeni tu mkuu. Si unajua jamaa hajaribiwi?watakula kama zile za Arusha
Huu msiba ni wa kitaifa. CDM wasiuteke kama wao tu. Ndesa ameheshimika sana na amechagiza sana biashara Moshi.
Kwa kuanzia rambirambi ziende kwa mkuu wa mkoa.