- Thread starter
- #81
Mkuu...tangu mtafaruko utokee hii week ya tatu ila huyu mwanamke hataki kusema kwanini alisema uongo nijue sababu ili nifanye decision yeye anaomba msamaha tyuuMmmh sawa mkuu ni Basi muoe tu changamoto zingine ni kawaida tu
Mkuu...tangu mtafaruko utokee hii week ya tatu ila huyu mwanamke hataki kusema kwanini alisema uongo nijue sababu ili nifanye decision yeye anaomba msamaha tyuuMmmh sawa mkuu ni Basi muoe tu changamoto zingine ni kawaida tu
Unataka akuambie nini mkuu, yeye Hapendi uzinzi, anajitunza ndo maana alikuambia hivo Ila kilichotokea hadi kuondoa bikra ni ajali tu mkuu kama ajali zingineMkuu...tangu mtafaruko utokee hii week ya tatu ila huyu mwanamke hataki kusema kwanini alisema uongo nijue sababu ili nifanye decision yeye anaomba msamaha tyuu
Mkuu kama hapendi uzinzi si asingefanya kabisa mpaka ndoa mana kafanya kachoka ndio kaja kunidanganya mimiUnataka akuambie nini mkuu, yeye Hapendi uzinzi, anajitunza ndo maana alikuambia hivo Ila kilichotokea hadi kuondoa bikra ni ajali tu mkuu kama ajali zingine
Nimemwambia ni ajali tu kumbuka Shetani yupo kaziniMkuu kama hapendi uzinzi si asingefanya kabisa mpaka ndoa mana kafanya kachoka ndio kaja kunidanganya mimi
Hahaaaa....ajali yani kutumika mpaka kuwa makinikiaNimemwambia ni ajali tu kumbuka Shetani yupo kazini
Basi ufuate moyo wako unavyotakaHahaaaa....ajali yani kutumika mpaka kuwa makinikia
Ww usimpambe mwenzioA. Alitumiwa akajirekebisha sasa anataka awe nawe tu kwani kuna shida?
B. bikra zinatoka kwa namna nyingi sio kwa kufanya sex tu.
C. kujua kufanya au kuwa fundi hakuna uhusiano wa moja kwa moja na kuwa anafanyaga. wewe kuna mtu alikufundisha kuingiza na kuchochea??
Wewe ungeangalia mienendo ya mtoto ma sio kuanza kuwaza ya nyuma. ukiingia kwenye ndoa na haya mawazo utaishindwa.
Umejuaje kama una uwezo wa zaid ya moja kama na ww hujatumika vya kutosha?? Wote mmetumika malizaneni tu vizur.Hahaa....Hapana uwezo wa zaidi ya moja ninao ila hata yeye anajua kuwa tabia zake za uongo
Mkuu mwanzo tuliwahi kwaruzana kwa sababu kuwa busy na simu ndogo anacharti sanaUmejuaje kama una uwezo wa zaid ya moja kama na ww hujatumika vya kutosha?? Wote mmetumika malizaneni tu vizur.
Mh! Nyuzi kama hizi zinanizidishia imani ya kubaki bachelor tuYa kwenye ndoa ni zaidi ya hili jikakamue Mzee baba.
Yap zipo bikra ambazo hazina hymen ila utaitofautishaje na iliyotumika? Njia ni moja tu DIAMETER yaani bikra zooote huwa na upenyo sawa Kadogooooooo.kuliko k iliyozoe MPINIYawezekana dem kweli ni bikra but biologically k yake haijawa complete sealed
Hapana kujua demu ni bikra sio mpaka ule nje .ila kujiongeza tu kuna kusoma elimu ya maumbile na vitu kama hivyoHahaha hapo mwanaume anataka asahau na Mahari yake hahahaha ..anyway nipesa na muda je??
Ila hata mim ningekasirika sana, naningeenda kuwambia wazazi kua mwanenu nilotegemea sijayakuta.
Ivo basi, Mnirudishien asimia 75 ya pesa yangu, Izo zingine zibak kua za usiku mmoja.
Sema nn .. Uliwezaje kukaa miaka hiyo bila kumla??
Naww ulijuaje km katumikaa,inamaana ulikua unakula mademu sio ??
Sasa niivi..UKITAKA BIKRA HAKIKISHA NAWW NI BIKRA !! .
Kinyume nahapo kila mtu na msalaba wake.
Kwanza ushukuru umegundua kabla ya ndoaHahaaa....kama mazuri vile aisee yani mtu anasali kabisa halafu anaongopa aisee yani sijui niamue nini mana hata sijui