raiswenu
JF-Expert Member
- Apr 20, 2018
- 995
- 1,720
Akifuata moyo ataumia, mwambie afuate akili yake, usimpoteze mwenzioHapo mkuu n changamoto.hawa wanawake.Kwa sasa fata moyo wako tu ndugu utakachoamua
Akifuata moyo ataumia, mwambie afuate akili yake, usimpoteze mwenzioHapo mkuu n changamoto.hawa wanawake.Kwa sasa fata moyo wako tu ndugu utakachoamua
Hahahah we jamaa kichaa hahahah(nje ya mada); mkopo wa ada 50% sh. 120000 huyo binti alikuwa anasoma kozi gan ya sh. 240000 ?
(ndani ya mada); nachokushauri ni kwamba "ukome kununua mbuzi kwenye gunia"
Amuache akuwowe wewe etiiiMu
Muache

Sawasawa mkuuNikushauri kitu bro. Ahirisha masuala ya ndoa kwa sasa, ikiwezekana jipe muda wa kutafakari na kumchunguza upya, ukisha jiridhisha, unaweza kufunga naye ndoa, usifanye uamuzi wa haraka bro
Nikupe uzoefuSawasawa mkuu
Kwanini uogope mana mimi mtu akiwa open ndio naona safiNikupe uzoefu
Kuna muda tunaogopa kuwa wazi kwa tunaowapenda kwa hofu ya kumpoteza.
Ndoa siyo sex pekee kuna mambo mengi ndani yake
Zungumza nae mpe ukweli wako msikilize na mfikie muafaka.
Mwanamke ameumbiwa "haya"
Mkuu sio kuoa Bikra bali the way jinsi yeye alivyojicommit kwangu kuwa hamna sex mpaka ndoa alijua mimi ntashindwa kuvumilia na sijawahi hata mgusa titi dini sana alikua mwisilamu swala tano ila akaja hadi kubadili Dini kwa sababu yangu mwisho wa siku nimeona uongo mtupuhivi kweli ukaenda kutoa mahari (kununua bikra) kwa 3.5m.....mkabageini kama mko mnadani....😎😎....zigo kuja getoo holaaaaaa.......nna mashaka na wewe......unatoa mahari kabla hujagonga???? kosa kuu..........hivi kwanza unaijua bikra??
ulitaka ukute kitu nyaaaaaaatu.....tight.......hivi unajua unatenda dhambi........na umeigharamia 3.5m...... wacha ada ulizomlipia......nakushauri umuoe...kwa gharami zote hizo..usimuache..pesa ngumu...ila kampime kila kitu,, mpaka chuchu......😉
Mbaya zaidi tangu tukio litokee mpaka leo zaidi ya mwezi anaomba msamaha lakini sababu ya kosa hasemi ndio shida hapo na mimi nimwembia kuwa Ukisema sababu ya kusema uongo ndio ntatoa decisionMsamee tu mkuu hakuna aliyokamilika unaweza ukamuacha huyo aligokudanganya hivyo ukakutana na balaa kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini muogope kuwa wazi hamjui kama itawagharimuNikupe uzoefu
Kuna muda tunaogopa kuwa wazi kwa tunaowapenda kwa hofu ya kumpoteza.
Ndoa siyo sex pekee kuna mambo mengi ndani yake
Zungumza nae mpe ukweli wako msikilize na mfikie muafaka.
Umenikumbusha bint mmoja alikuwa na tabia hizo .Niliumiaga sana aiseee ,sinto msahau HidayaNdio mkuu yani hili ndio limeongeza kuwa UMENIFU ZERO
Km ni mara moja tu wala usingejua, penetration ingekuwa ya shidaMkuu...Hiyo B...
yeye kaniomba msamaha kuwa huyo jamaa aluyemtoa Bikra kuwa ndio alifanya naye mara moja tu ila mimi naona makinikia kabisa
Plus ukubwa wa mahari lazima uumie ndg yangu coz wht you ordered is not wht you get.Hahaa...mkuu yani kinachoniumiza mtu makinikia kabisa yani unajua kabisa huyu mzoefu maana yake huo mwaka alikua anagawa kwa siri kabisa
3. Mahari ya mil 3 aliyotoaHivi zile mada za kusema usimsomeshe mwanamke asiye ndugu yako ili uje umuoe huwa hamzisomi?? Kumsomesha mwanamke asiye ngudu yako ruksa tu kama unatoa msaada kibin adamu pasipo kutegemea lolote mbeleni. Sasa hapa unahuzunika na mambo mawili naona,
1. Ada yako uliyomsaidia
2. Umekuta mambo sio
Hapo kama kweli unampenda hayo hayajalishi kitu, kama ana tabia njema, anakupenda pia, mnaelewana... Ndugu huyo oa.
Sanaa sio mchezo aisee Parefu ila kwa maisha ya siku hizi sio Parefu sana mana maisha yamepanda sana ila nimeumizwa na uongo wake halafu mbaya zaidi hadi leo zaidi ya mwezi anaomba msamaha lakini sababu ya kosa hasemi ndio shida hapoPlus ukubwa wa mahari lazima uumie ndg yangu coz wht you ordered is not wht you get.
Pole sana.
Sent using Jamii Forums mobile app