FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,103
- 2,774
Hapo mkuu n changamoto.hawa wanawake.Kwa sasa fata moyo wako tu ndugu utakachoamua
Ingekua wewe ungelizika na hali ya kukuta makinikiaAlifanya vema tu,kaona kuna mwelekeo ndo akaona akupe.
Hajakosea.
Yani hata sijui nini niamue mana leo namuuliza hatoi majibu ya kuridhisha anaomba msamaha tyuuHapo mkuu n changamoto.hawa wanawake.Kwa sasa fata moyo wako tu ndugu utakachoamua
Nashukuru aiseee. ..Yaan kosa la kwanza n kumwamin mwanamke aisee.Tuliza akili tu mkuu yaweke sawa kama anafaa kuwa ndan oa tu
Ndio hofu yanguSema bora angeongea ukwel kwamba yy so bikira bhana hapo huez mwamini tena ila jitahid tu
Inaonekana aliipenda bikraUlimpenda yeye au uliipenda bikira yake??
InawezekanaYawezekana dem kweli ni bikra but biologically k yake haijawa complete sealed
Asante kwa ushauriHakuna namna apigwe chini 2
Mzee sheria 150000/=(nje ya mada); mkopo wa ada 50% sh. 120000 huyo binti alikuwa anasoma kozi gan ya sh. 240000 ?
(ndani ya mada); nachokushauri ni kwamba "ukome kununua mbuzi kwenye gunia"
Mkuu....huyu binti kwao wastarabu sana na wazazi wake wanajua mwanao bado katulia na kuhusu mahari ndio maisha ya siku hiziMuoe tu achana na mawazo potofu, mtarekebishana, ila mbona Mahari kubwa ivi
Mkuu nimeaminiDunia hii ina mambo walahi..yaan usikute jamaa lilokuwa linamla lilikuwa likikesha kwenye papuchi..halaf yy anasema mara moja 2....na mara zote mademu wanaosemaga tusifanye kitu mpaka ndoa kwa kigezo wao ni bikra ni wachache sana huwa ni wakwel ila asilimia kubwa ni waongo wakubwa
Mmmh sawa mkuu ni Basi muoe tu changamoto zingine ni kawaida tuMkuu....huyu binti kwao wastarabu sana na wazazi wake wanajua mwanao bado katulia na kuhusu mahari ndio maisha ya siku hizi