Ushauri wa busara

Ushauri wa busara

Moyo wako ndio unaamua, lakini pengine alishaona kutumika tena hakufai atulie asubiri ndoa, kaona wewe ni muoaji umeshagundua hilo utafanya nn??

Kama ulimpenda yeye bas tambua mapenzi na ndoa ni zaidi ya bikira, kama anasifa unaona anafaa kua mke muoe tu
Nilimpenda yeye ila Sikuwahi kuhoji yeye tu kwa hofu yake akasema Bikra ila nimeona Muongo hapo sasa ndio shida
 
Moyo wako ndio unaamua, lakini pengine alishaona kutumika tena hakufai atulie asubiri ndoa, kaona wewe ni muoaji umeshagundua hilo utafanya nn??

Kama ulimpenda yeye bas tambua mapenzi na ndoa ni zaidi ya bikira, kama anasifa unaona anafaa kua mke muoe tu
Mimi sikuwa na shida na Bikra yake shida suala la uongo wake hapo sasa ndio kigugumizi mana tuliwahi kufarakana mwanzoni kisha suala la uongo wake hapo na hili limeongezea ndio kasheshe
 
Mkuu....hapo kwenye kudanganya sio mara moja mara nyingi tuu tulikua tunagombana kwa maana alikua anapenda kutumia simu kidogo kucharti mara kwa mara Nikimuuliza huwa unacharti na nani Anajibu kwa usanii tuu....
Na sms zake sijamjibu anazoomba msamaha kuwa alifanya mara moja tu na jamaa wake aliyemtoa Bikra. .
Ila mimi naona kabisa hapa kuna makinikia hapo ndio tatizo
Kufanya Mara moja Ndo uongo wetu😂😂😂😂😂
 
Mkuu....hapo kwenye kudanganya sio mara moja mara nyingi tuu tulikua tunagombana kwa maana alikua anapenda kutumia simu kidogo kucharti mara kwa mara Nikimuuliza huwa unacharti na nani Anajibu kwa usanii tuu....
Na sms zake sijamjibu anazoomba msamaha kuwa alifanya mara moja tu na jamaa wake aliyemtoa Bikra. .
Ila mimi naona kabisa hapa kuna makinikia hapo ndio tatizo
Pole Sana mzee...Hao viumbe usijekuwaamini tenaa....!!!
 
Labda nikuulizee kuhusiana na hayo yote juu kwenye moyo wako bado unampenda? If yes samehe endelea na process za ndoa naamini ukimuweka chini ukamueleza atakuelewa na kujirekebisha

If no humpendi chukulia ile pesa umetoa sadaka na mwambie kua humuhitaji tena. Vikao na mengineyo unaweza kuistopisha
 
Kama hauko na amani naye mwache tu apate iliyo riziki yake, muda bado upo usije kuja ingia ndoani na majuto ukaiona ndoa chungu
Mimi sikuwa na shida na Bikra yake shida suala la uongo wake hapo sasa ndio kigugumizi mana tuliwahi kufarakana mwanzoni kisha suala la uongo wake hapo na hili limeongezea ndio kasheshe
 
Labda nikuulizee kuhusiana na hayo yote juu kwenye moyo wako bado unampenda? If yes samehe endelea na process za ndoa naamini ukimuweka chini ukamueleza atakuelewa na kujirekebisha

If no humpendi chukulia ile pesa umetoa sadaka na mwambie kua humuhitaji tena. Vikao na mengineyo unaweza kuistopisha
Asante kwa ushauri wako
 
Isije kuwa umeamua kutumia hicho kigezo kama sababu iliokufanya uishie goli moja tu ili mtoto mzur asikuone mchovu!!!!!
 
Hahaa....Hapana uwezo wa zaidi ya moja ninao ila hata yeye anajua kuwa tabia zake za uongo
 
Yawezekana dem kweli ni bikra but biologically k yake haijawa complete sealed
 
Hahaha hapo mwanaume anataka asahau na Mahari yake hahahaha ..anyway nipesa na muda je??

Ila hata mim ningekasirika sana, naningeenda kuwambia wazazi kua mwanenu nilotegemea sijayakuta.

Ivo basi, Mnirudishien asimia 75 ya pesa yangu, Izo zingine zibak kua za usiku mmoja.

Sema nn .. Uliwezaje kukaa miaka hiyo bila kumla??

Naww ulijuaje km katumikaa,inamaana ulikua unakula mademu sio ??

Sasa niivi..UKITAKA BIKRA HAKIKISHA NAWW NI BIKRA !! .

Kinyume nahapo kila mtu na msalaba wake.
 
Achana na huyo mwanamke!umemlipia ada. ....hiyo mahali uliyotozwa....mbona kubwa sana!mbaya zaidi...si mwaminifu!funguka macho huyo si mwanamke wa kuoa!
 
Mkuu...Hiyo B...
yeye kaniomba msamaha kuwa huyo jamaa aluyemtoa Bikra kuwa ndio alifanya naye mara moja tu ila mimi naona makinikia kabisa

Issue ni awe muwazi tuu .. Habari za mara moja ni uongo.
 
Back
Top Bottom