Ila mkuu huyo hakufai ni muongo Square root,Mimi sikuwa na shida na Bikra yake shida suala la uongo wake hapo sasa ndio kigugumizi mana tuliwahi kufarakana mwanzoni kisha suala la uongo wake hapo na hili limeongezea ndio kasheshe

Mkuu niliacha katikati mzuka hamnaMkuu pole sana kwa kua mtumwa mda mrefu. Kwa kunyimwa papuchi. Wakati wengine walikua wanaitumia mpaka mtoto akawa mzoefu, lakini pia nikulaumu kwa kuendeshwa na mwanamke pasipo we mwenyewe kujijua ..mda wote huo ulivyokua unamvumilia,ulikua mtumwa kwake. ... Ushauri wangu..angalia moyo wako unasemaje,... Ila ntaendelea kukulaumu kwa kuacha game katikati![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sawasawa chiefwee mwanamke wa kipnd hiki anakuambia bikra unakubali, baadhi ya watu wanatumia vazi la din kuonekana wasafi kumbe Ni nyoka. Unabahati ungeuziwa mbuz kwenye gunia kwa vile alikudanganya huyo Ni wakupiga chini angekuambia tu mapema kua ashawahi kupigika uamuae mwenyewe
Mkuu jinsi alivyokua ana behave ungeamini kabisawee mwanamke wa kipnd hiki anakuambia bikra unakubali, baadhi ya watu wanatumia vazi la din kuonekana wasafi kumbe Ni nyoka. Unabahati ungeuziwa mbuz kwenye gunia kwa vile alikudanganya huyo Ni wakupiga chini angekuambia tu mapema kua ashawahi kupigika uamuae mwenyewe
Asante sanaa kwa ushauriwee mwanamke wa kipnd hiki anakuambia bikra unakubali, baadhi ya watu wanatumia vazi la din kuonekana wasafi kumbe Ni nyoka. Unabahati ungeuziwa mbuz kwenye gunia kwa vile alikudanganya huyo Ni wakupiga chini angekuambia tu mapema kua ashawahi kupigika uamuae mwenyewe
Hahaa....SI mchezo eti huko chiniNdio inakubidi uvumulie mkuu wadada wa sasa hivi huko chini kwa sasa ni kwa kukuletea watoto ila ukisema unataka ku enjoy tafuta na wewe dogodogo yaani hakuna ladha kabisa......
Wengi wao walitumiwa sana kipindi cha nyuma kabla ya kuingia kwenye ndoa
Mkuu sio mtumwa...ni upofu tuu wa mapenziMkuu pole sana kwa kua mtumwa mda mrefu. Kwa kunyimwa papuchi. Wakati wengine walikua wanaitumia mpaka mtoto akawa mzoefu, lakini pia nikulaumu kwa kuendeshwa na mwanamke pasipo we mwenyewe kujijua ..mda wote huo ulivyokua unamvumilia,ulikua mtumwa kwake. ... Ushauri wangu..angalia moyo wako unasemaje,... Ila ntaendelea kukulaumu kwa kuacha game katikati![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
wanatengeneza mwana, anakupenda mvumilieHabari za siku wana MMU.....
poleni na majukumu na kila siku
Mimi aisee ngoja niende moja kwa moja kwenye mada aisee...
Ama kweli kwenye vitabu vitakatifu hawajakosea kuandika kuwa hawa viumbe tuishi nao kwa akili ...
Takribani mwaka mmoja na nusu saivi nilianza mahusiano na binti mmoja mrembo aisee moyo wangu aliushika sana ...
Baada ya approach to ambayo ilichukua karibu mwezi kukubali alinipa masharti moja tuu kuwa hamna sex mpaka ndoa ..
Na mimi kwa kua mtoto nimempenda na mzuri na mcha Mungu mtoto wa kiislamu swala tano haikauki kwa huyu mlimbwende basi nikasema hapa Nisiwe na pupa. ..
Aiseeee Mpenzi upofu Nilimvumilia sana bila hata kula mzigo hata kushika titi ila hakuna mtu aliyekua anajua kuwa kama sijawahi kula. .
Mimi mkristo na yeye binti Muslim ila kwa kua Tunapendana ilibidi kwa hiari yake aanze kwenda kanisani mpaka mimi ni kaanza kushangaa kuwa huu upendo sio mchezo kwa kufupisha yapo mengi yalijiri ila...
Kubwa zaidi hili la kukaa na binti kama pesa kidogo ya Matumizi nampa kwa week laki mpaka laki na nusu hadi mbili na pia nilimsaidia kumsomesha chuo kuanzia yupo second year mpaka anamaliza mana alipata mkopo kama 50% kwenye 120000/=
Yapo mengi tuliyapitia kwenye mahusiano. ..
Kizunguzungu hiki week ya pili hata akili haipo sawa ...
Week zilizopita aisee mPenzi wangu nilienda kumtolea posaa wazazi wake walisema kama milioni tano ila Tulifanya mazungumzo mpaka milioni tatu na nusu nililipa cash. .
Sasa siku tatu baada ya posa binti sijui nini Anishawishika alikuja home tulilala kitanda kimoja. ..
Aiseeee ulikua usiku mchungu kwangu siwezi kusahau mana Nilimvumilia nilijua kama alivyokua anasema dhambi kwakua yeye Bikra. ..
Niliyoyakuta sio ya hapa binti katumika na tena mzoefu aise mood iliisha niliishia kufunga Goli moja ..
Niliondoka ghafla room nilienda kulala Hotelini kwa hasira....
Nilimuacha analia tuu home kila akipiga simu sipokei na sms sijibu. .
Yani mtu mcha Mungu kabisa aisee wanawake hawa siwaamini tenaaa
Week saivi na zaidi nipo tu kitaa full stress jamani na vikao vinaendelea miezi sita ijayo ili tufunge ndoa ila mpaka hapa sijui la kufanya nimevurugika jamani ...
Naombeni hekima zenu please ushauri ndugu zangu
Asante kwa ushauri wako mkuuKwa uwekezaji ulioufanya inabidi umsamehe na maisha yaendelee
Kweli mkuu Dalili niliacha kwa kuwa watu siku hizi wapo kidijitali ila kumbe ndio hamna kitu aisee..kwa tabia zingine aisee nisikufuru yupo njema sema hapa uongo ndio shida mana nawaza huko mbele anaweza kuja kupewa mimba pembeniMkuu nikuoe pole kwa mkasa huo.wanawake ni werevu sana na ndio maana vitabu vya Mungu vinasema tuishi nao kwa akili.Kosa lako lilikuwa ku ignore dalili za uongo ulizong'amua hapo mwanzo anachat na watu anakuficha ukaacha huku anasema bikra kwa maneno basi wewe unaamini bila kuthibitisha.
Kila binti ukimgundua hvo atasema hoo.nilifanya mara moja tu ndio uongo wao huo.Kwa dhama hzi mkuu ukiambiwa bikra hakikisha kwa kupiga mechi au la ungempeleka akakaguliwe hosp ungepata jibu mapema sana.Wanaume kupenda kutumia Moyo n kosa kubwa mno tumia akili.
Kwa sasa hapo angalia kama madhaifu yake utaweza yavumilia huko ndoani au la vinginevo usipochukua uamuzi wa busara unaweza jitia kitanzi mapema.
Pole kwa hilo and mchumba hasomeshwi aisee.
Hofu yangu mpaka sasa kwamba leo nimejaribu kumuuliza kuwa nini kilisababisha a cheat majibu yake hayana Uzito ndio hapo sasaBasi mkuu piga moyo konde oa huyo ila mmpe tahadhari asiyarudie matope aliyokuwa anapakaa huko nyuma.zidisha uchunguzi wa mawasiliano yake