- Thread starter
- #121
Mahari sio shida sana but shida uongo wake alioufanya ndio mana anashindwa hata kasema sababu ya kufanya hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahari sio shida sana but shida uongo wake alioufanya ndio mana anashindwa hata kasema sababu ya kufanya hivi
Alikufanyia nini mkuuUmenikumbusha bint mmoja alikuwa na tabia hizo .Niliumiaga sana aiseee ,sinto msahau Hidaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Yamwage hapa mafunzo hayo tiririkaTatizo lako ni kutokuwa na elimu sahihi juu ya jinsia ya kike na maana ya ndoa.ukisha funga ndoa hiyo nakushauri wewe na huyo mtarajiwa wako muanze kwa pamoja mafunzo hayo. tahadhari; hayapatikani kanisani au msikitini pekee!!!!
Ila sababu ya kosa si ndio hiyo ya kukuta pako used tofauti na matarajio yako, na akasema alifanya mara moja tu.Sanaa sio mchezo aisee Parefu ila kwa maisha ya siku hizi sio Parefu sana mana maisha yamepanda sana ila nimeumizwa na uongo wake halafu mbaya zaidi hadi leo zaidi ya mwezi anaomba msamaha lakini sababu ya kosa hasemi ndio shida hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa....umeua mkuu yani hapa nipo confused sana na masuala haya ya mapenziIla sababu ya kosa si ndio hiyo ya kukuta pako used tofauti na matarajio yako, na akasema alifanya mara moja tu.
Au ww unataka sababu ipi?
Sent using Jamii Forums mobile app