Mie huyu dada anaolewa soon so kwasababu nilipewa jukumu yakumlinda hadi ndoa basi nikaingilia kati usiharibu ila mie jomba nasema ukweli sinaga wivu na mtu yeyote humu, napia sitakagi kutongozwa humu sipendi kumuumiza mtu so elewa hilo, natongozwa sana humu ila siwezi kukubali nimeamua kuweka maisha yangu private