Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,282
- 54,657
Afanye maamuz sasa kuitika huu witoAh wee ukimuona tuu lazima ufindishe. Na alivyo mchapa kazi utafurahi
Jamani๐๐๐Akinuna na anune tu acha nikutongoze kwanza ๐
Hebu muambie bhanaJamani ๐๐,,me niko na mtu humu nisije nikaachwaa niacheee ๐๐๐๐
Nimemwambia hapo hataki kusikiaHebu muambie bhana
Ngoja nimuite. mawardat amepatikana mchumba huku njoo umsikieAfanye maamuz sasa kuitika huu wito
wachaaaSio sitaki kutongozwa,elewa nishatongozwa na ninatongozwa sana,
Ukidinywa na mmoja inatosha,nimefundishwa na mama mtoto wa kike ni kuutunza mwili wake,na kuutunzwa kwenyewe sio kula ugali,
Hapa mama yangu nilimuelewa sana[emoji120]
Afanye chap maana kuna dalili za kuporwa mtu wangu hapaNgoja nimuite. mawardat amepatikana mchumba huku njoo umsikie
Huyo mchumba ana mchumba wake,Ngoja nimuite. mawardat amepatikana mchumba huku njoo umsikie
Acha kimuume tu akila akiwa amekaa na Mimi nakula nikiwa nimesimama atulie tu aache kua na presha ๐Nimemwambia hapo hataki kusikia
Mtu mwenyewe ni mimi lakini?Nimemwambia hapo hataki kusikia
Lakini sii unakuwa mke wa pili dada yetu. Ujue siku zinaenda na sie twataka kula wali mchafuHuyo mchumba ana mchumba wake,
Unashangaaa nini ebu na mie nikutongoze bby.mwenyewe ndo niko nashangaa hapa๐๐๐
Hebu mshawishi bwasheLakini sii unakuwa mke wa pili dada yetu. Ujue siku zinaenda na sie twataka kula wali mchafu
Koma kabisa ๐ wewe ๐คฃ๐คฃ๐คฃUnashangaaa nini ebu na mie nikutongoze bby.
ametulia zake huko hana pressure ,, nashangaa mnavyohangaika hapa๐๐๐Mtu mwenyewe ni mimi lakini?
Pole, ushawahiwa๐๐๐Unashangaaa nini ebu na mie nikutongoze bby.
Kwisha habari yanguametulia zake huko hana pressure ,, nashangaa mnavyohangaika hapa๐๐๐