Ushauri wa bure

Bila kutongozana wewe usingekuwapo duniani hivyo acha upuuzi
 
Hutaki utongozwe kwani una mapungufu gani? Hutaki udinywe kwani una mapungufu gani hapo?
Sio sitaki kutongozwa,elewa nishatongozwa na ninatongozwa sana,


Ukidinywa na mmoja inatosha,nimefundishwa na mama mtoto wa kike ni kuutunza mwili wake,na kuutunzwa kwenyewe sio kula ugali,

Hapa mama yangu nilimuelewa sana[emoji120]
 
Sio sitaki kutongozwa,elewa nishatongozwa na ninatongozwa sana,


Ukidinywa na mmoja inatosha,nimefundishwa na mama mtoto wa kike ni kuutunwa mwili wake,na kuutunzwa kwenyewe sio kula ugali,

Hapa mama yangu nilimuelewa sana[emoji120]
Kwa hio unamshauri nini Maua anaeogopa kutongozwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…