Ushauri wa bure!

Koba

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
6,132
1,346
Umeme mgawo 16 hours na ukweli hakuna hope kabisa maana serikali iliyopo na records zake sana sana tatizo litaendelea kuongezeka kila siku,hii inafanya maisha yanazidi kuwa magumu maana hata watu kuangalia news kwenye TV au charging their cellphone tayari is a big deal bila kusahau hata kupika au kuhifadhi chakula chetu kwenye fridge ni issue tayari...nashauri watu waanze kufikiria kuweka solar panel kwenye nyumba zao kujiokoa na hili janga,wanaojenga au wenye nyumba wafanye solar power as necessary kama choo au jiko,kwa umeme bei mbaya na usioaminika kama wa TANESCO nafikiri investment ya solar panels ni cheap kuliko LUKU za hawa mafisadi,serkali nayo iondoe kodi zote za solar power na iweke guarantee kwenye loans zote za solar ili watu wapate mikopo ya kunua hizo solar panels,tuna jua TZ zaidi ya masaa 12 na miezi 12 yote kwa mwaka jua linawaka..think about it!
 
We Mluguru unajua nini kuhusu solar energy wewe? Hebu tambaa huko!

..wewe kula starehe zako states umeme mnauziwa bei karibu na bure na 24 hrs AC,laundry etc kwa bei ya McDonald,ingia Dar ng'ombe wewe uone kama hiyo AC utaiwasha na hiyo cellphone yako itakuwa inakufa kila siku bila charge,umeme na foleni TZ ni disaster
 
We pimbi kumbe umeshapigwa bomba states? Pole zako....
 
Back
Top Bottom