Ushauri wa bure tu kwa aliyefurumushwa

Ushauri wa bure tu kwa aliyefurumushwa

....akili zetu watanzania tunazijua wenyewe mkuu-eti akae kimya kisa kafukuzwa ccm wakati yeye ni mwanasiasa.
...uoga wetu wa kipuuzi namna hii ccm haitatoka kamwe madarakani...wataendelea kutudharau na kusema sisi ndio chama kikongwe zaidi Africa kinachotawala as if kuna la maana wamelifanya nchi hii..pathetic
Acheni woga... Mbona li muvi ndo kama linaanza??
Ili nchi itoke hapa ilipo ni lazima haya ne mengine mengi tu yatokee...
Kukimbia si suluhisho!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nchi hii wananchi ni either wamejichokea ama wameridhika na hali walizonazo!
 
ANA WAKATI MGUMU SANA MEMBE. UJUE HUYU JAMAA KUTOA ROHO YA MTU KWAKE NDIO KILELE CHA FURAHA YAKE. BADO HUJAMJUA TU HULKA YAKE? WEWE MTZ WA WAPI?
kwa hiyo huyo jamaa ndo tapeli namba moja wa haki za kuishi?
 
1. Usiwajibu kwa haraka kama ambavyo nimeanza kuona unataka Kufanya hivyo
2. Acha Mihemuko ya Kuwaambia neno Umma ambao wengi Wao ni Wanafiki watupu
3. Jitafakari huku ukikikumbuka sana kile Kiapo chako Fani yako Kuu ya Njiwa / Chawa
4. Kuanzia sasa usiwaamini wote wanaokuzunguka kwani hao ndiyo wanakumaliza
5. Usiwaze kwenda upande wa Pili badala yake jikite katika Ujasiriamali au Pumzika tu kabisa
6. Jua ya kwamba kuna mahala umetegwa na wanajua utapaingia tu ili wakumalize vizuri
7. Kuanzia leo popote utakapokuwa jua mpo wengi hivyo ongeza mno umakini wako Kimaisha

Wenye kuona mbali kwa aina ile ya body language yako tu hasa ulipotoka Kuhojiwa Mji Mkuu wa Tanzania huku baada ya hapo ukiwa unajimwambafai hasa kwa ile Mikogo yako ya Kikusini na ile uliyokuja nayo kutokea nchini Canada na kuwepo muda mrefu katika docket yenye kukukutanisha na Wazungu na Wanadiplomasia kila mara tulijua tu kuwa usingepona kwani ulichokifanya kwa mbaya wako ambaye hapendi Dharau au Mtu mwingine kuwa juu yake kilichokutokea amekibariki vilivyo.

Yangu ni haya tu Mfurumushwaji (Mfukuzwaji) Mjeuri na Kiburi.
Naunga mkono hoja
P
 
Membe apumzike, Ni mtu mjinga kabisa mwenye dharau za kipuuzi, CCM ina utamaduni wake hata kama haujaandikwa ni sheria, unapovunja taratibu kwa makusudi ni dharau kubwa sana,
Kwamba wewe hakuna anayekuweza!!!
Its over and out, ciao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Membe apumzike, Ni mtu mjinga kabisa mwenye dharau za kipuuzi, CCM ina utamaduni wake hata kama haujaandikwa ni sheria, unapovunja taratibu kwa makusudi ni dharau kubwa sana,
Kwamba wewe hakuna anayekuweza!!!
Its over and out, ciao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakayofanya au kusema baada ya hapa ndiko kutakakomtambulisha kwamba yeye anazo sifa za uongozi au hana.

Mengi ya hayo uliyoorodhesha hapo juu ni ushauri mzuri, ila kuna ya hovyo pia kwenye listi hiyo.

Ni kama umetumwa kuwafanyia kazi hao waliomfukuza chamani..., umelitafakari hilo?
 
Membe apumzike, Ni mtu mjinga kabisa mwenye dharau za kipuuzi, CCM ina utamaduni wake hata kama haujaandikwa ni sheria, unapovunja taratibu kwa makusudi ni dharau kubwa sana,
Kwamba wewe hakuna anayekuweza!!!
Its over and out, ciao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na huu unaouita 'utamaduni' ndio mnaotaka kuueneza nchi nzima, kwa maslahi ya nani!
 
Acheni woga... Mbona li muvi ndo kama linaanza??
Ili nchi itoke hapa ilipo ni lazima haya ne mengine mengi tu yatokee...
Kukimbia si suluhisho!!
Jp Omuga

Laiti kama watu wangeelewa ulichoandika hapa ingekuwa vizuri sana.

Itawezekana vipi kuwepo mabadiliko yoyote bila ya matukio kama hayaa kuwepo, na watu kuyatafutia utatuzi wake?

Tatizo letu ni hili moja tu: 'kutafuta utatuzi wa matatizo yanayotukabili'.

Ukisoma yanayoandikwa kwenye mada kama hii utagundua kwamba hatuna nia wala moyo wa kutafuta utatuzi wa matatizo yanayotukabili.
Tunasubiri tu muujiza utokee na kutuondolea matatizo hayo. Bila ya hivyo, tunaishi tu kwa kuyakubali yaendelee.
 
Nakuelewa Sana!
Wengi wetu wanamini matatizo ya binadamu kwa binadamu yanatatuliwa kwa miujiza ya Mungu!
La hasha... Tupo hai leo ili kutumia akili zetu kutengeneza na kutatua matatizo yanayotukabili!
Root cause ya matatizo ya Watanzania ni sisiemu... Cha ajabu wanaiogopa na kukimbilia kutatua makando kando ya tatizo lenyewe...!
Mwalimu JKN aliona mbali sana... Umaskini wa akili ni zaidi ya umaskini wowote ule!
 
1. Usiwajibu kwa haraka kama ambavyo nimeanza kuona unataka Kufanya hivyo
2. Acha Mihemuko ya Kuwaambia neno Umma ambao wengi Wao ni Wanafiki watupu
3. Jitafakari huku ukikikumbuka sana kile Kiapo chako Fani yako Kuu ya Njiwa / Chawa
4. Kuanzia sasa usiwaamini wote wanaokuzunguka kwani hao ndiyo wanakumaliza
5. Usiwaze kwenda upande wa Pili badala yake jikite katika Ujasiriamali au Pumzika tu kabisa
6. Jua ya kwamba kuna mahala umetegwa na wanajua utapaingia tu ili wakumalize vizuri
7. Kuanzia leo popote utakapokuwa jua mpo wengi hivyo ongeza mno umakini wako Kimaisha

Wenye kuona mbali kwa aina ile ya body language yako tu hasa ulipotoka Kuhojiwa Mji Mkuu wa Tanzania huku baada ya hapo ukiwa unajimwambafai hasa kwa ile Mikogo yako ya Kikusini na ile uliyokuja nayo kutokea nchini Canada na kuwepo muda mrefu katika docket yenye kukukutanisha na Wazungu na Wanadiplomasia kila mara tulijua tu kuwa usingepona kwani ulichokifanya kwa mbaya wako ambaye hapendi Dharau au Mtu mwingine kuwa juu yake kilichokutokea amekibariki vilivyo.

Yangu ni haya tu Mfurumushwaji (Mfukuzwaji) Mjeuri na Kiburi.
uko sawa kabisa
 
8. Ajiunge chadema..
Membe2020...
 
aombe msamaha tu kama sofia simba atasamehewa tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawezi kwani ana Kiburi, Dharau na Ujeuri wa Asili japo najua kuna mahala wanaenda Kumgusa na Mwenyewe tu atarudisha Mpira kwa Golikipa. Mstaafu wa Msoga Land ndiyo chanzo Kikuu cha Yeye ( Mfurumushwaji ) kuwa na Nyodo namna hii na Kujiamini kote huko.
 
Membe apumzike, Ni mtu mjinga kabisa mwenye dharau za kipuuzi, CCM ina utamaduni wake hata kama haujaandikwa ni sheria, unapovunja taratibu kwa makusudi ni dharau kubwa sana,
Kwamba wewe hakuna anayekuweza!!!
Its over and out, ciao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Msimlaumu Yeye kuwa hivyo bali pelekeni lawama zenu kwa Mstaafu wa Msoga Land kwani ndiye anamjaza upepo wa Dharau.
 
Jp Omuga

Laiti kama watu wangeelewa ulichoandika hapa ingekuwa vizuri sana.

Itawezekana vipi kuwepo mabadiliko yoyote bila ya matukio kama hayaa kuwepo, na watu kuyatafutia utatuzi wake?

Tatizo letu ni hili moja tu: 'kutafuta utatuzi wa matatizo yanayotukabili'.

Ukisoma yanayoandikwa kwenye mada kama hii utagundua kwamba hatuna nia wala moyo wa kutafuta utatuzi wa matatizo yanayotukabili.
Tunasubiri tu muujiza utokee na kutuondolea matatizo hayo. Bila ya hivyo, tunaishi tu kwa kuyakubali yaendelee.

Sasa kama nawe unajifanya Kujiamini hivi na huogopi mbona unatumia Fake / Anonymous ID na wala siyo Verified One? Acha na acheni Unafiki wa Kujifanya Wababe huku mkiwa nyuma ya Keyboards zenu wakati hata ninyi pia ni Makunguru ( Waoga ) kama tu walivyo Watanzania wengine.
 
Back
Top Bottom