Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,643
- Thread starter
- #41
Nakuelewa Sana!
Wengi wetu wanamini matatizo ya binadamu kwa binadamu yanatatuliwa kwa miujiza miujiza!
La hasha... Tupo hai leo ili kutumia akili zetu kutengeneza na kutatua matatizo yanayotukabili!
Root cause ya matatizo ya Watanzania ni sisiemu... Cha ajabu wanaiogopa na kukimbilia kutatua makando kando ya tatizo lenyewe...!
Mwalimu JKN aliona mbali sana... Umaskini wa akili ni zaidi ya umaskini wowote ule!
Sasa kama nawe unajifanya Kujiamini hivi na huogopi mbona unatumia Fake / Anonymous ID na wala siyo Verified One? Acha na acheni Unafiki wa Kujifanya Wababe huku mkiwa nyuma ya Keyboards zenu wakati hata ninyi pia ni Makunguru ( Waoga ) kama tu walivyo Watanzania wengine.