Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,643
1. Usiwajibu kwa haraka kama ambavyo nimeanza kuona unataka Kufanya hivyo
2. Acha Mihemuko ya Kuwaambia neno Umma ambao wengi Wao ni Wanafiki watupu
3. Jitafakari huku ukikikumbuka sana kile Kiapo chako cha Fani yako Kuu ya Njiwa / Chawa
4. Kuanzia sasa usiwaamini wote wanaokuzunguka kwani hao ndiyo wanakumaliza
5. Usiwaze kwenda upande wa Pili badala yake jikite katika Ujasiriamali au Pumzika tu kabisa
6. Jua ya kwamba kuna mahala umetegwa na wanajua utapaingia tu ili wakumalize vizuri
7. Kuanzia leo popote utakapokuwa jua mpo wengi hivyo ongeza mno umakini wako Kimaisha
Wenye kuona mbali kwa aina ile ya body language yako tu hasa ulipotoka Kuhojiwa Mji Mkuu wa Tanzania huku baada ya hapo ukiwa unajimwambafai hasa kwa ile Mikogo yako ya Kikusini na ile uliyokuja nayo kutokea nchini Canada na kuwepo muda mrefu katika docket yenye kukukutanisha na Wazungu na Wanadiplomasia kila mara tulijua tu kuwa usingepona kwani ulichokifanya kwa mbaya wako ambaye hapendi Dharau au Mtu mwingine kuwa juu yake kilichokutokea amekibariki vilivyo.
Yangu ni haya tu Mfurumushwaji (Mfukuzwaji) Mjeuri na Kiburi.